Yanga Sc kupitia kwa mkurugenzi wa uwekezaji wa GSM,Hersi Said wamethibitisha kumuongezea mkataba beki wao wa kimataifa,Lamine Moro ambaye iliripotiwa kuwa mkataba wake unakaribia kufikia ukingoni msimu ujao 2021. Lamine …
lamine
-
-
Beki wa Yanga Sc,Lamine Moro ana hatihati ya kukosa mchezo wa Septemba,6 dhidi ya Tanzania Prisons utakaochezwa majira ya saa 1:00 usiku uwanja wa Mkapa kutokana na jeraha la goti …
-
Beki tegemeo wa klabu ya Yanga sc Lamine Moro leo ataingia uwanjani kuivaa Kagera Sugar baada ya kumaliza adhabu ya kufungiwa mechi tatu pamoja na faini ya Shilingi laki tano …
-
Beki wa Lamine Moro amefungiwa mechi tatu na kupigwa faini ya shilingi laki tano (500,000/-) kwa kosa la kumkanyaga mchezaji wa JKT Tanzania, Mwinyi Kazimoto ambaye naye amefungiwa mechi mbili …
-
Kampuni ya Gsm imefanikiwa kumrejesha beki wa klabu ya Yanga sc Lamine Moro baada ya kusaidia mazungumzo ya kumaliza matatizo baina ya mchezaji huyo na klabu hiyo. Lamine aliondoka Jangwani …
-
Uongozi wa klabu Yanga umesema hauna mpango wa kumuacha beki wao kisiki Lamine Moro ambaye aliandika barua ya kuvunja mkataba wake kutokana na madai ya mishahara Akizungumza na waandishi wa …
-
Wakati ikiivaa Jkt Tanzania leo klabu ya Yanga imepata ahueni baada ya beki raia wa Ghana Lamine Moro kurejea baada ya kuwa majeruhi kwa wiki kadhaa. Lamine aliumia wakati wa …
-
Wakati nyota waliokuwa majeruhi wakirejea kikosini, beki Lamine Moro bado anaendelea na matibabu ambapo aliumia katika mchezo wa pili wa kombe la Shirikisho dhidi ya Pyramids Fc, mchezo ambao Yanga …