Nyota wa Twiga Stars na Brighton & Hoves ya England, Aisha Masaka ametoa neno la shukrani baada ya kushinda tuzo ya mwanamichezo bora wa kike mwaka 2024, katika usiku wa …
ligi
-
-
Klabu ya Singida Black Stars imetangaza kushtushwa na taarifa ya kocha wake Hamdi Miloud kujiunga na klabu ya Yanga sc kutokana na kuwa na mkataba naye. Jana usiku klabu ya …
-
Beki wa klabu ya Coastal union Lameck Lawi hatimaye amerejea nchini baada ya kushindwa kufuzu majaribio yake katika klabu ya K.A.Gent ya nchini Ubelgiji huku akisubiri uamuzi wa Kamati ya …
-
Wachezaji wa Juventus wote wamelazimika kujitenga kwa ridhaa baada ya kiungo wa timu hiyo,Weston McKennie kuthibitika kukutwa na Virusi vya Corona. Weston ambaye ndiye mchezaji wa pekee wa Juventus alijiunga …
-
Aliyekuwa kiungo wa Simba Sc, Sharaf Shiboub ameamua kutimkia zake Algeria na kujiunga na klabu ya Cs Constantine inayoshiriki ligi kuu nchini humo. Shiboub amejiunga na klabu hiyo yenye mtaji …
-
Ratiba ya fainali za Kombe la Dunia 2022 zitakazopigwa Qatar imetangazwa ,huku ikishuhudia mechi nne zikichezwa kwa siku na fainali yenyewe kufanyika wiki moja kabla ya sikukuu ya krismasi. Michuano …
-
Serikali ya Uingereza imetoa ruksa kurejea kwa ligi hiyo na matukio yote ya kimichezo kuanzia mwezi June 1, ila pasipo kuwa na mashabaki ili kuangalia kwanza taratibu za afya kwani …
-
Uongozi wa klabu ya Simba umezindua rasmi Website yake (Tovuti) kwa ajili ya kutanua wigo mpana wa kutoa taarifa kwa mashabiki wake ndani na nje ya nchi. Tovuti hiyo imezinduliwa …
-
Mechi zilizosalia za ligi kuu Tanzania Bara zitagharimu zaidi ya Sh 417 milioni ambazo zitatumika katika uendeshaji kwa timu na malipo ya posho kwa waamuzi na maofisa wengine wanaosimamia michezo …
-
Mikoa miwili ya Mwanza na Dar-es-salaam ndiyo iliyoteuliwa kutumika kwa ajili ya kumalizia ligi za soka msimu wa 2019/2020. Ligi kuu ya Vodacom na kombe la shirikisho la Azam Sports …