Kikosi cha Simba kimerejea Dar Es Salaam leo Mei 26 kutoka Visiwani Zanzibar baada ya kupoteza taji la kombe la Shirikisho barani Afrika baada kufungwa kwa matokeo ya jumla ya …
ligi kuu
-
-
Uongozi wa Klabu ya Yanga Sc umethibitisha kwamba kiungo mshambuliaji wao, Stephine Aziz Ki atajiunga na klabu ya Wydad Casablanca baada ya klabu hiyo kumalizana na Yanga sc kwa dau …
-
Timu ya soka ya Yanga sc imeendelea kujiimarisha kileleni mwa msimamo wa ligi kuu ya Nbc nchini baada ya kuifunga timu ya Namungo Fc kwa mabao 3-0 katika mchezo wa …
-
Beki wa kati wa Simba Sc Hussein Kazi anamaliza mkataba wake na wekundu wa msimbazi mwishoni mwa msimu huu ambapo anahusishwa kuondoka katika klabu hiyo baada ya msimu huu kumalizika …
-
Sasa ni rasmi klabu ya soka ya Kagera Sugar Fc imeshuka daraja mpaka ligi daraja la kwanza kwa msimu ujao baada ya klabu ya Kengold Fc kukubali kipigo cha mabao …
-
Klabu ya Yanga Sc kesho wanatarajiwa kuingia dimbani kuwania alama tatu muhimu katika mchezo wa Ligi Kuu ya Nbc dhidi ya klab ya Namungo Fc mchezo utakaofanyika katika uwanja wa …
-
Klabu ya Simba Sc imefanikiwa kuchukua alama tatu muhimu katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc nchini dhidi ya Kmc baada ya kuifunga kwa mabao 2-1 katika mchezo wa ligi …
-
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Simba Sc Jean Charles Ahoua amepindua meza na sasa anaongoza safu ya ufungaji bora ya ligi kuu ya soka ya Nbc nchini. Ahoua sasa anashikilia …
-
Klabu ya Simba Sc imezidi kujisogeza kileleni mwa msimamo wa ligi kuu ya Nbc nchini baada ya kuifunga timu ya Pamba Jiji Fc kwa mabao 5-1 katika mchezo wa ligi …
-
Bodi ya ligi kuu nchini (Tplb) imesema kuwa bado inafanya uchunguzi juu ya vitendo vya rushwa na ukosefu wa usalama vilivyopelekea kuahirishwa kwa mchezo baina ya Yanga sc dhidi ya …