Yanga Sc
ligi kuu bara
-
-
Klabu ya Yanga sc imefanikiwa kuchukua alama tatu katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc nchini dhidi ya Klabu ya Tanzania Prisons baada ya kuifunga kwa mabao 5-0 katika mchezo …
-
Klabu ya Wydad Athletic wameanza safari ya kuelekea nchini Marekani tayari kwa ajili ya mashindano ya Kombe la Dunia la Vilabu ambayo itaanza kutimua vumbi Juni 15, 2025. Msafara wa …
-
Kocha msaidizi wa klabu ya Simba Sc Selemani Matola amekiri kuwa timu yake ya Simba Sc itakutana na mchezo mgumu itakapowavaa Singida Black Stars katika mchezo wa ligi kuu ya …
-
Uongozi wa Klabu ya Yanga sc umethibitisha kupokea majibu kutoka Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) kuhusu kesi yao namba CAS 2025/A/11298 iliyoifungua kupinga maamuzi ya bodi ya …
-
Klabu ya Singida Black Stars imetangaza kuwa sasa itakuwa chini ya kocha David Ouma kama Kocha mkuu na Muhibu Kanu kama kocha msaidizi wa klabu hiyo wakichukua nafasi ya Miloud …
-
Klabu ya Soka ya Dodoma Jiji Fc imepanga kwenda kuweka kambi maalumu ya mafunzo jijini Arusha ili kujiandaa na michezo ya duru ya pili ya ligi kuu ya Nbc nchini. …
-
Beki wa klabu ya Simba Sc Che Malone Fondoh pamoja na mshambuliaji wa klabu hiyo Lionel Ateba wameizawadia klabu ya Pamba Jiji Fc beki Cherif Ibrahim aliyejiunga na klabu hiyo …
-
Klabu ya Singida Black Stars imewasimamisha makocha wake Patrick Aussems ambaye ni kocha mkuu sambamba na msaidizi wake Dennis Kitambi kutokana na mwenendo usioridhisha wa kikosi hicho katika michuano ya …
-
Msafara wa kikosi cha timu ya Simba sc umefanikiwa kuwasili salama mkoani Kigoma kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu ya Nbc nch8ini dhidi ya Mashujaa Fc utakaofanyika jioni ya …