Bodi ya ligi nchini TPLB imetangaza rasmi kuwa mchezo wa ligi kuu nchini baina ya Yanga sc dhidi ya Simba sc utachezeshwa na waamuzi sita ili kuleta ufanisi zaidi. Akizungumza …
ligi kuu bara
-
-
Leo katika ligi kuu Tanzania bara klabu ya Yanga sc itavaana na Gwambina fc katika mchezo unaotarajiwa kuwa mkali na wa kusisimua ambao utafanyika katika uwanja wa Gwambina Complex katika …
-
Cedrik Kaze ambaye ni kocha mpya wa Yanga ameanza na safu ya ushambuliaji katika program zake za mazoezi kuhakikisha anapunguza ukame wa mabao katika kikosi chake. Akianza na Carlos Fernandes …
-
Uongozi wa Yanga Sc leo Oktoba 16, umemtambulisha rasmi Cedric Kaze,kama kocha mkuu wa klabu hiyo ambaye alitua hapo jana usiku akitokea nchini Canada. Kaze amesaini mkataba wa miaka miwili …
-
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha Septemba 15, 2020 ilipitia mwenendo na matukio mbalimbali ya Ligi na kufanya …
-
Kocha mkuu wa Simba SC,Sven Vandenbroeck amesema kwa sasa anakiandaa kikosi chake maalum kwa mchezo ujao wa ligi kuu bara utakaofanyika uwanja wa Mkapa dhidi ya Biashara United siku ya …