Mastaa wa klabu ya Yanga waliokua majeruhi Khalid Aucho, Pacome Zouzoua, Clatous Chama, Kennedy Musonda leo hii wamerejea mazoezini baada ya kupona majeraha yao. Mbali na mastaa hao pia Yao …
ligi kuu
-
-
Mchezo wa ligi kuu ya Nbc Kati ya klabu ya KMC Fc dhidi ya Simba Sc Umebadilishwa na sasa Utachezwa katika uwanja wa Kmc Complex jijini Dar Es Salaam Mei …
-
Bodi ya ligi kuu nchini imetangaza ratiba ya michezo mbalimbali ya ligi kuu ya Nbc nchini iliyosalia mpaka kumalizia msimu huu wa 2024-2025 ambapo mechi baina ya Yanga sc dhidi …
-
Klabu ya Simba Sc imefanikiwa kuchukua alama tatu katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc nchini dhidi ya Klabu ya Jkt Tanzania uliofanyika Mei 5 2025 katika uwanja wa Meja …
-
Klabu ya Simba Sc leo April 5 2025 inarudi tena uwanjani kuvaana na wenyeji wao maafande wa JKT Tanzania katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc utakaofanyika majira ya saa …
-
Klabu ya Kaizer chiefs imeonyesha ya kumhitaji mlimzi wa kushoto na nahodha anayemaliza mkataba ndani ya klabu ya Simba Sc Mohammed Hussein Zimbwe ambaye yuko mbioni kumaliza mkataba wake mwishoni …
-
Mabao mawili ya mshambuliaji Lionel Ateba yameiokoa klabu ya Simba Sc na kuondoka na alama tatu katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc nchini dhidi ya Mashujaa Fc uliofanyika katika …
-
Klabu ya Yanga sc imefanikiwa kutwaa kombe la Muungano nchini baada ya kuifunga klabu ya Jku kwa 1-0 katika mchezo wa fainali uliofanyika katika viwanja vya Gombani Visiwani Pemba. Yanga …
-
Klabu ya soka ya Fountain Gate Fc yenye makazi yake wilayani Babati mkoani Manyara imemtimua kocha wake raia wa Kenya Robert Matano kutokana na matokeo yasiyoridhisha katika ligi kuu ya …
-
Imefahamika kuwa klabu ya Simba Sc itacheza mchezo wake wa marudiano wa Fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya Rs Berkane katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar …