Klabu ya soka ya Fountain Gate Fc yenye makazi yake wilayani Babati mkoani Manyara imemtimua kocha wake raia wa Kenya Robert Matano kutokana na matokeo yasiyoridhisha katika ligi kuu ya …
ligi kuu
-
-
Imefahamika kuwa klabu ya Simba Sc itacheza mchezo wake wa marudiano wa Fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya Rs Berkane katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar …
-
Klabu ya Simba Sc imefanikiwa kutinga hatua ya fainali ya michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika baada ya kupata suluhu katika mchezo wa marudiano dhidi ya Stelleboch Fc ya …
-
Klabu ya Simba Sc sasa rasmi itavaa nembo ya mavazi ya Diadora kuanzia msimu ujao katika vifaa vyote vya mazoezi na mechi pamoja na hafla rasmi za klabu hiyo baada …
-
Klabu ya Simba Sc imesaini mkataba wa usambazi wa jezi na Kampuni ya jayrutty ya nchini wenye thamani ya bilioni 38 katika kipindi cha miaka mitano. Mkataba huo umesainiwa jana …
-
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga sc Stephane Aziz Ki ameiongoza klabu hiyo kuifunga Timu ya Stand United kwa mabao 8-1 katika mchezo wa robo fainali ya kombe la Shirikisho …
-
Klabu ya Simba Sc kupitia kwa meneja wa Idara ya habari na mawasiliano ya klabu hiyo leo imetangaza kauli mbiu ya mchezo ujao wa nusu fainali dhidi ya Fc Stelleboch …
-
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga sc Pacome Zouzoua anatarajiwa kuwa nje ya uwanja kwa takribani siku kumi akiuguza majeraha ya enka aliyoyapata katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc …
-
Klabu ya Simba Sc itautumia uwanja wa New Amaan complex Visiwani Zanzibar katika mchezo wa nusu fainali ya kwanza ya michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika siku ya Jumapili …
-
Klabu za Simba sc na Singida Black Stars zijatarajiwa kumenyana vikali katika mchezo wa nusu fainali ya michuano ya kombe la Shirikisho la Crdb nchini katikati ya mwezi ujao. Mchezo …