Kiungo wa klabu ya Simba Sc Mzamiru Yassin hatokuwa tena sehemu ya kikosi cha Simba Sc kuelekea msimu ujao wa ligi kuu ya Nbc baada ya mkataba wake kuisha mwishoni …
ligi kuu
-
-
Mshambuliaji Kennedy Musonda amewaaga rasmi wanachama,wapenzi na Mashabiki wa klabu ya Yanga sc baada ya kumaliza mkataba wake na klabu hiyo huku kukiwa hakuna mazungumzo ya kuongeza mkataba mpya kwa …
-
Klabu ya Azam Fc imemtambulisha rasmi kocha Frolent Ibenge kama kocha mkuu mpya wa klabu hiyo akichukua nafasi ya kocha Rachid Taoussi ambaye mkataba wake umemalizika klabuni hapo msimu huu. …
-
Klabu ya soka ya Azam Fc imekamilisha usajili wa kiungo wake mkabaji wa zamani Himid Mao Mkami (32) kutoka Klabu ya Ghazl El Mahalla ya Misri ambayo amemaliza nayo mkataba …
-
Jota wa Liverpool Afariki Dunia
-
Kiungo mkabaji aliyemaliza mkataba wake katika klabu ya Simba Sc Fabrice Ngoma (31) anakaribia kujiunga na klabu ya Hassania d’Agadir kutoka Morocco muda wowote kuanzia sasa. Kiungo huyo mwenye uwezo …
-
Klabu ya Simba sc inaangalia namna ya kumsajili mlinzi wa kulia wa klabu ya Azam Fc, Lusajo Mwaikenda ambapo mpaka sasa wawakilishi wa beki huyo wamefanya mazungumzo na Simba sc …
-
250m Kumpata Yakoub wa Jkt Tanzania
-
Abel Mbioni Kutemwa Simba Sc
-
Yanga Sc Yatwaa Ubingwa Mbele ya Simba Sc