Bayern Munich ambao ni mabingwa watetezi wa UEFA Champion League wamezidi kuwasha moto katika michuano msimu huu wa 2020/2021 baada ya kupata ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Atletico Madrid …
ligi ya mabingwa
-
-
Ligi ya mabingwa inaendelea leo ambapo watetezi wa ligi kuu England,Liverpool itavaana na Ajax majira ya saa 4:00 usiku uwanja wa Johan Cruijff Arena. Huu ni mchezo wa aina yake …
-
Bayern Munich imeitungua mabao 3-0 Lyon kwenye mchezo wa nusu fainali hatua ya Ligi ya Mabingwa Ulaya siku ya jana. Bao la kwanza na la pili lilipachikwa na Gnabry dakika …
-
PSG wamefanikiwa kuibuka wababe na kutinga mazima hatua ya fainali ligi ya mabingwa ulaya baada ya kushinda mabao 3-0 dhidi ya Leipzig mjini Lisbon siku ya jana katika mchezo wa …
-
Abdulhalim Humud wa Mtibwa Sugar amejiunga na Namungo Fc leo Agosti 13 iliyo chini ya Hitimana Thiery kwa dili la miaka miwili. Humud akiwa Mtibwa Sugar msimu wa 2019/20 alihusika …
-
Manchester United wametangaza takwimu zao za kifedha kwa miezi mitatu ya kwanza ya 2020 ambayo imeonekana kuzua wasiwasi mkubwa huko Old Traord. Klabu imekuwa na ongezeko la deni kwa 42% …