Uongozi wa Yanga SC umemualika Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan kushuhudia mchezo wao wa ligi kuu dhidi ya KMC katika kilele cha Mwaka mmoja …
ligikuu
-
-
Wachezaji watatu wa klabu ya Yanga sc waliokua majeruhi wa muda mrefu Yacouba Sogne,Kibwana Shomari na Abdalah Shaibu wamerejea mazoezini baada ya kuwa majeruhi wa muda mrefu kikosini humo. Miezi …
-
Klabu ya Kmc yenye maskani yake Kinondoni jijini Dar es salaam imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Dodoma jiji Fc katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara uliofanyika …
-
Klabu ya Azam fc imerudi kileleni mwa msimamo wa ligi kuu Tanzania bara baada ya jana kuifunga klabu ya Dodoma jiji Fc kwa mabao 3-0 katika mchezo uliochezwa katika uwanja …
-
Taarifa zinaeleza kuwa kocha mkuu,Cedric Kaze ndiye ambaye atarithi mikoba ya Zlatico Krmpotic ambaye alifutwa kazi rasmi Oktoba 3. Zlatico alikiongoza kikosi cha Yanga kwenye mechi 8 ambapo katika hizo …
-
Tottenham Hotspurs wamejinasia huduma ya mshambuliaji wa Benfica ya ligi kuu Ureno, Carlos Vinicius kwa mkopo wa mwaka mmoja. Vinicius ambaye ni raia wa Brazil ameondoka Benfica akiwa amewafungia jumla …
-
Manchester United inadaiwa kumueka sokoni beki wake wake wa kati, Chris Smalling ambaye anahitajika na klabu As Roma,na Inter Milan. Smalling aliwahi kuichezea Roma kwa mkopo msimu uliopita katika mechi …
-
Kocha Mkuu wa West Ham United, David Moyes pamoja na wachezaji wawili wamekutwa na virusi vya Corona jana kabla ya kuanza raundi ya tatu ya mchezo wao wa Carabao Cup …
-
Kiungo wa klabu ya Bayern Munchen Thiago Alcantara amekamilisha usajili wake kutua katika klabu ya Liverpool ya ligi kuu nchini Uingereza. Uhamisho huo umeigharimu Liverpool kiasi cha Paundi Milioni 27 …
-
Manchester United imeingia kwenye rada ya kumnasa nyota wa Real Madrid, Gareth Bale ili ajiunge na kikosi hicho kwa ajili ya msimu mpya wa 2020/21 kabla dirisha la usajili halijafungwa …