Mbeya City imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Kagera Sugar kwenye mchezo wa leo Octoba 23,wa ligi kuu bara uliochezwa uwanja wa Kaitaba. Kwa mara ya kwanza Mbeya …
ligikuubara
-
-
-
Simba Sc ambao ni mabingwa watetezi wa ligi kuu bara ,leo Octoba 22,2020 wamekubali kipigo kwa mara ya kwanza tangu kuanza kwa ligi msimu huu wa 2020/2021 cha bao 1-0 …
-
Mchezaji wa zamani wa Yanga Sc, David Molinga ameanza mazoezi na timu yake mpya ya Zesco ambayo amejiunga nayo msimu huu wa 2020/21 baada ya kuagana na kikosi cha Yanga …
-
Simba Sc imeanza safari yake leo Oktoba 19,kuelekea Mbeya kwa ajili ya mchezo wa raundi ya sita wa ligi kuu bara dhidi ya Tanzania Prisons. Wanamsimbazi hao watakaa kwa muda …
-
Straika wa Simba Sc ,Meddie Kagere yuko hatarini kuikosa mechi ya watani wa jadi dhidi ya Yanga Sc kutokana na majeraha yanayomsumbua yatakayomfanya kukaa nje ya uwanja kwa takribani wiki …
-
Cedric Kaze ambaye ni kocha mkuu wa Yanga Sc tayari ameshaanza kazi ya kukinoa kikosi hicho cha Jangwani ambacho Novemba 22,kitavaana na Polisi Tanzania uwanja wa Mkapa. Kocha huyo aliyesaini …
-
Omary Kindamba ambaye ni beki wa Ihefa Fc atakuwa nje kwa muda wa wiki tatu hadi nne kutokana na kupata majeraha ya mbavu baada ya kuanguka vibaya alipokuwa akiitetea timu …
-
Ligi kuu Tanzania bara inaendelea leo Octoba 16,ambapo Dodoma Jiji itawakaribisha Mbeya City uwanja wa Jamhuri Dodoma majira ya saa 10:00 kwa ajili ya kuzisaka pointi tatu muhimu. Dodoma Jiji …
-
Azam Fc imezidi kujiwekea rekodi nzuri ndani ya msimu huu mpya wa ligi kuu bara 2020/2021 baada kufika raundi ya sita pasipo kufungwa wala kutoa sare ya kufungana. Kikosi hicho …