Cedric Kaze yuko njiani kutua Tanzania leo Octoba 15,kwa ajili ya kuanza rasmi majukumu yake mapya ndani ya kikosi hicho cha Yanga Sc. Ofisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli, amethibitisha …
ligikuubara
-
-
Mchezaji wa Simba Sc ambaye ni raia wa Zambia ,Clatous Chama ameeleza kuwa bado ana mipango ya kubakia kukipiga msimbazi kwani anafurahia soka linalosakatwa na mchezaji mwenzake Bwalya(Rarry)kwani ni kati …
-
Mechi ya ligi kuu bara raundi ya sita kati ya Kmc na Coastal Union iliyochezwa leo Octoba 14,uwanja wa Uhuru imewagawanisha pointi mojamoja timu zote mbili baada ya kutoka suluhu. …
-
Ligi kuu Tanzania Bara raundi ya sita inaendelea leo Octoba 14,ambapo timu nane zitavaana katika viwanja vinne tofauti kwaajili ya kusaka pointi tatu muhimu. Raundi ya tano ilimalizika na kuwaacha …
-
Kutokana na mvua kubwa kunyesha leo Jijini Dar-es-salaam,imepelekea mechi ya kirafiki ya Simba Sc dhidi ya Ndanda Fc kughairishwa. Mechi hiyo ilitakiwa kuchezwa leo Octoba 13, majira ya saa 11:00 …
-
Kikosi cha Simba kipo tayari kuvaana na Ndanda Fc inayoshiriki ligi daraja la kwanza leo Octoba 13,katika uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi jijini Dar-es-salaam. Mchezo huo utakaochezwa majira ya …
-
Azam Fc ambao ni vinara wa kigi kuu ya Vodacom Tanzania bara (VPL) itakuwa na mchezo wa kirafiki leo Octoba 12,dhidi ya Fountain Gate SC . Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa …
-
Prince Dube mwenye hasira ya kuchukua kiatu cha dhahabu ndani ya msimu huu mpya wa ligi kuu 2020/2021 ambacho kwa sasa Meddie Kagere anakishikilia ,anazidi kujiwekea akiba ya mabao ndani …
-
Simba Sc imewapa kichapo cha mabao 4-0 JKT Tanzania katika mchezo wa raundi ya tano ya ligi kuu bara uliochezwa jana uwanja wa Jamuhuri mkoani Dodoma majira ya Saa 8:00mchana. …
-
Kikosi cha Simba Sc kimesema kuwa kipo tayari kwa ajili ya mchezo wa leo utakaopigwa uwanja wa Jamhuri dhidi ya JKT Tanzania ikiwa ni mchezo wa raundi ya tano ligi …