Kipa namba moja wa Azam FC,David Kissu ameweka rekodi ya kuwa kipa pekee ligi kuu bara baada ya kucheza dakika 360 sawa na mechi nne bila kuruhusu bao lolote. Kissu …
ligikuubara
-
-
Aliyekuwa kocha mkuu wa Simba Sc kwa msimu wa 2019/2020,Patrick Aussems amepata dili la kuinoa Black Leopard ya Afrika Kusini kwa kipindi cha miaka mitatu. Aussems raia wa Ubelgiji akiwa …
-
Ligi kuu bara inaendelea leo ambapo raundi ya nne inakamilika kwa mechi moja kuchezwa Uwanja wa Mkwakwani majira ya saa 10:00 jioni kati ya Coastal Union inayonolewa na Juma Mgunda dhidi …
-
Yanga Sc imefanikiwa kusepa na pointi tatu leo katka uwanja wa Jamuhuri uliopo jijini Morogoro baada ya kuwapa kichapo cha bao 1-0 Mtibwa Sugar kupitia kiungo wao mpya Lamine Moro. …
-
Mtibwa Sugar imekuwa ikipata matokeo mazuri pindi inapokuwa nyumbani dhidi ya Yanga Sc ambapo katika mechi tano za mwisho walizokutana kwenye uwanja huo imeibuka na ushindi mara mbili, sare mara …
-
Azam Fc imeibuka leo na ushindi wa bao 1-0 mbele ya Tanzania Prisons kwenye mchezo wa ligi kuu bara uliochezwa uwanja wa Nelson Mandela, Rukwa. Bao pekee la ushindi limepachikwa …
-
Kikosi cha Yanga Sc kinachonolewa na kocha mkuu, Zlatko Krmpotic kinatarajia kuanza safari yake leo kueleleka Morogoro kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu bara dhidi ya Mtibwa Sugar utakaopigwa …
-
Uongozi wa Yanga Sc umejiridhisha na uwezo wa nyota wao watano waliowasajili katika msimu huu wa pili wa ligi kuu bara ulioanza 12 Septemba na wamejiakikishia kuwa wakiendelea na mazoezi …
-
KMC imeibuka na ushindi wa mabao 4-0 mbele ya Mbeya City kwenye mchezo wa ligi kuu bara uliochezwa leo Septemba7 uwanja wa Uhuru. Mabao ya KMC yalipachikwa na Israel Patrick …
-
Bigirimana Blaise ameweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kufunga bao kwenye msimu wa pili wa ligi kuu bara ambapo aliiongoza timu yake ya Namungo Fc kuwapa kichapo cha bao …