Simba Sc wamelifungua vyema pazia la Ligi kuu bara baada ya kunyakua pointi tau kutoka kwa Ihefa Fc iliyoburuzwa kwa mabao 2-1. John Bocco ambaye ni nahodha wa klabu hiyo …
ligikuubara
-
-
Kocha mkuu wa Simba Sc,Sven Vandenbroeck amewachomoa nyota wake watatu ambao ni Luis Miqussone,Pascal Wawa na Chris Mugalo kwa kuwa hawakuwepo kwenye mazoezi ya awali na wachezaji wenzao kambini wiki …
-
Kocha mkuu wa Simba Sc,Sven Vandenbroeck amekanusha taarifa zilizoenea mtandaoni kuhusu nyota wake namba moja Meddie Kagere kuwa walipigana. Sven amesema kuwa taarifa hizo si za kweli na hawezi kutumia …
-
Mshambuliaji wa Yanga,Yacouba Sogne amewasili Tanzania leo akitokea nchini Burkina Faso ili kuungana na wachezaji wenzake kambini kwa ajili ya maandalizi ya ligi kuu bara inayotarajiwa kuanza Septemba 6. Sogne …
-
Fernandes Guimaraes ‘Carlinhos’ tayari ameshatua kwenye ardhi ya Tanzania akitokea Angola kwaajili ya kumalizana na mabosi wa Yanga Sc ili kuanza rasmi kuitumikia klabu hiyo yenye maskani yake Jangwani. Kiungo …
-
Leo Agosti 12 Azam Fc imeingia mkataba wa miaka miwili na beki wa kushoto kutokea Mbao Fc, Emmanuel Charles kwa usajili huru. Charles amekuwa na kiwango bora ndani ya Mbao …
-
Mshambuliaji aliyekuwa anakipga ndani ya CD Tennerife ya Hispania,Farid Mussa ametangazwa rasmi leo kuwa mali ya Yanga baada ya kumwaga wino wa kuitumikia klabu hiyo kwa dili la miaka miwili. …
-
Klabu ya Simba Sc imetwaa taji lake la tatu leo ndani ya msimu wa 2019/20 ambayo ilianza na ngao ya jamii, kwa ushindi wa mabao 4-2 mbele ya Azam FC Uwanja …
-
Kesho katika viwanja saba tofauti ligi kuu bara itaendelea huku yanga ikiwa mbioni kuzisaka pointi tatu mbele ya Mwadui Fc Uwanja wa Taifa Jijini Dar-es-salaam. Yanga Sc wanashika nafasi ya …
-
Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa Simba Sc,Mohammed Dewji ambaye pia ni mwekezaji wa simba amewaambia wekundu hao wa msimbazi wajipange kwa ajili ya kombe la shirikisho la Azam (ASFC) …