Nyota aliyemaliza msimu wa 2019/2020 akiwa Lipuli Fc iliyoshuka daraja na kuibukia Gwambina Fc,Darueshi Saliboko ameweka wazi kupambana na kujitengenezea mazingira ya kuwania kiatu cha dhahabu katika msimu wa ligi …
Lipuli fc
-
-
David Kameta ‘Duchu’ ametambulishwa rasmi leo Agosti 15 ndani ya kikosi cha Simba akiwa amesaini dili la miaka miwili akitokea klabu ya Lipuli Fc. Duchu akiwa Lipuli ambayo itashiriki ligi …
-
Dodoma Fc imefanikiwa kunasa saini ya kiungo aliyekuwa akihusishwa kujiunga na Yanga kwa mda mrefu,Cleofas Mkandala kutoka TanzaniaPrisons. Afisa habari wa Dodoma Fc,Ramadhani Juma amesema kuwa baada ya dirisha kubwa …
-
Namungo Fc ya Lindi imeamua kumalizana na mchezaji kutoka Lipuli Fc,Fredy Tangalo ambaye amesaini kandarasi ya miaka miwili akiwa ni mchezaji huru baada ya mkataba wake kuisha. Huu ni usajili …
-
Kamati ya nidhamu ya shirikisho la soka Tanzania (TFF) imemfungia miaka miwili aliyekuwa kocha mkuu wa Yanga Sc , Luc Eymael kujihusiana na masuala ya soka Tanzania pia kutozwa faini …
-
Beki wa klabu ya Lipuli FC ,David Kameta ‘Duchu’ inaelezwa kuwa amesaini kandarasi ya miaka miwili ndani ya klabu ya Simba. Duchu amekuwa kwenye ubora wake ndani ya Lipuli ambapo …
-
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza majina sita ya waamuzi watakaochezesha mchezo wa fainali kombe la Azam (ASFC) utakaofanyika Jumapili August 2,2020 mkoani Sumbawanga Uwanja wa Nelson Mandela kati ya …
-
Mabingwa mara tatu mfululizo wa VPL, Simba SC wamefikia hatua nzuri ya kumsajili beki wa kulia wa Lipuli, David Kameta kwa mkataba wa miaka miwili. Msimu huu Kameta ameifungia Lipuli …
-
Harakati za klabu ya Azam fc kumaliza nafasi ya pili ligi kuu Tanzania bara zimesimamishwa na klabu ya Lipuli Fc baada ya kulazimishwa sare ya mabao 1-1 uwanja wa Samora …
-
Nahodha wa klabu ya Lipuli Fc Paul Nonga hajajiunga na kambi ya timu hiyo kufuatia kutomaliziwa malipo yake hasa mshahara na dau la usajili la mkataba wa sasa. Straika huyo …