Staa wa klabu ya Simba Ibrahimu Ajibu hatakua sehemu ya kikosi cha timu kinachoshuka dimbani jioni ya leo kupambana na Lipuli Fc mchezo utakaochezwa katika uwanja wa Samora mjini Iringa. …
Lipuli
-
-
Mwamuzi Abubakar Mturo amefungiwa miezi mitatu(3) kwa kosa la kushindwa kumudu mchezo katika mechi iliyochezwa Februari 05,2020 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. Adhabu hiyo imetolewa kwa kuzingatia …
-
Deogratius Munishl ‘Dida’ambae alikuwa mlinda mlango na mchezaji wa zamani wa vilabu vya Simba na Yanga amekuwa miongoni mwa wachezaji tisa waliosajiliwa kwenye msimu huu wa usajili wa dirisha dogo …
-
Kocha msaidizi wa Azam Fc Idd Cheche amefurahi kuona vijana wake wakiichapa mabao 2-0 Lipuli kwenye mchezo wa ligi uliochezwa uwanja wa Taifa Januari 15. Mabao ya ushindi yaliyofungwa na …
-
Mshambuliaji wa Simba sc Adam Salamba amejiunga na timu ya Al Jahra sc inayoshirikiligi kuu nchini Kuwait kwa dau linalokadiriwa kufikia shilingi milioni 100. Salamba aliyesajiliwa na Simba sc akitokea …
-
Beki wa Yanga Ally Mtoni Sonso ameamua kufunguka baada ya kutemwa katika kikosi cha taifa stars kinachojiandaa na mechi ya michuano ya mataifa ya afrika kwa wachezaji wa ndani(Chan) dhidi …
-
Mbunge na mshabiki wa Yanga Mwigulu Nchemba tayari amekamilisha ahadi yake aliyoitoa mbele ya hadhira siku ya tamasha la kuichangia klabu hiyo ‘Kubwa kuliko’ lililofanyika katikati ya mwezi mei mwaka …