Estevao aipa ushindi Chelsea dhidi ya Liverpool: Tathmini Kamili ya Wachezaji wa Chelsea Siku ya soka la kusisimua ilishuhudia Chelsea ikiibuka kidedea na ushindi muhimu wa 2-1 dhidi ya Liverpool, …
Liverpool
-
-
Vilabu Vikubwa Ulaya Vyenye Mashabiki Wengi Africa Manchester United: Gwiji wa Kudumu Manchester United ni miongoni mwa vilabu vinavyoongoza kwa mashabiki wengi barani Afrika. Umaarufu wao unatokana na mafanikio ya …
-
Chelsea shangwe liverpool afa uturuki UEFA: Upande Mmoja Wakicheka kwa Ushindi wa Kimkakati Klabu ya Chelsea ilifanikiwa kupata ushindi wake wa kwanza kabisa katika kampeni za Ligi ya Mabingwa Ulaya …
-
Dirisha la usajili barani ulaya 2025 la majira ya joto limefunga rasmi, likiwa limeacha simulizi nyingi za kusisimua na za kuhuzunisha. Hili lilikuwa ni dirisha lenye misukosuko mingi, ambapo klabu …
-
Mwezi Julai umekuwa na matukio mengi ya kusisimua tangu kufunguliwa kwa dirisha hili la usajili, tetesi za usajili barani ulaya 2025 zinapamba moto kila siku zinaibuka taarifa mpya zinazohusu wachezaji …
-
Jota wa Liverpool Afariki Dunia
-
Klabu ya Manchester United i8mefanikiwa kupata ushindi wa  kibabe sana katika moja ya mechi ngumu kwenye Kombe la FA baada ya kuifunga Liverpool Fc kwa mabao 4-3 katika mchezo uliochezwa …
-
Vita ya kuwania taji la ligi kuu soka nchini Uingereza imeendelea usiku wa kuamkia leo ambapo Chelsea alishuka dimbani darajani kuikabilisha Everton,huku Liverpool nao wakiwa nyumbani waliwakaribisha Newcastle United kwenye …
-
Baada ya Ajax kuwakaribisha Liverpool kwenye uwanja wao wa nyumbani Johan Cruijff Arena wameambulia kuchapwa bao 1-0 na mabingwa hao watetezi wa ligi kuu England. Bao la pekee la Liverpool …
-
Ligi ya mabingwa inaendelea leo ambapo watetezi wa ligi kuu England,Liverpool itavaana na Ajax majira ya saa 4:00 usiku uwanja wa Johan Cruijff Arena. Huu ni mchezo wa aina yake …