Kamati ya nidhamu ya shirikisho la soka Tanzania (TFF) imemfungia miaka miwili aliyekuwa kocha mkuu wa Yanga Sc , Luc Eymael kujihusiana na masuala ya soka Tanzania pia kutozwa faini …
Luc Eymael
-
-
Kocha mkuu wa Yanga SC, Luc Aymael amekataa kusafiri na makocha wa Yanga Boniface Mkwasa ambaye ni kocha msaidizi na Peter Manyika ambaye ni kocha wa magolikipa kwenda Morogoro na …
-
Kocha mkuu wa kikosi cha Yanga Sc ameanza mikakati ya kusuka upya kikosi chake huku akiweka wazi kuwa anahitaji wachezaji saba na amepanga kuwatema 11. Yanga inaonekana kupata wakati mgumu …
-
Beki mtanzania anayekipiga ndani ya klabu ya Nkana nchini Zambia, Hassan Kessy yupo kwenye mjadala wa Kamati ya usajili wa Yanga na jina lake limekabidhiwa kwa Kocha Mkuu wa timu …
-
Kocha mkuu wa Klabu ya Yanga Luc Eymael amevutiwa na kiwango cha kiungo wa Klabu ya Kagera Sugar Awesu Ally Awesu Baada ya kucheza vizuri kwenye mchezo wa robo fainali …
-
Kocha wa klabu ya Yanga Luc Eymael pamoja na mshambuliaji David Molinga wamepanda ndege kuelekea mjini Shinyanga kuwavaa Mwadui Fc kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania bara utakaofanyika hapo kesho. …
-
Kocha mkuu wa Yanga LUC EYMAEL tayari ameshawasili nchini Tanzania kuja kuendelea na majukumu yake katika klabu hiyo ambapo kesho ataelekea Shinyanga kuungana na kikosi chake cha Young Africans tayari …
-
Kocha Mkuu wa Yanga, Luc Eymael atawasili kesho Jumatano saa 7:20 mchana tayari kuungana na kikosi kwa ajili ya mwendelezo wa mechi za Ligi na Kombe la FA akitokea nchini …
-
Kitendo cha kurejea kwa baadhi ya Mastaa wa Klabu ya Simba sc waliokua nje ya nchi huku pia kocha wa timu ya Azam fc Aristica Cioaba kimemkasirisha kocha wa Yanga …
-
Kocha mkuu wa Yanga Sc,Luc Eymael ameweka wazi katika kikosi chake cha msimu ujao hatosajili wachezaji wengi badala yake atafanya maboresho kidogo ya kuchukua wachezaji wachache ambao watakuja kuongeza nguvu …