Viongozi wa Yanga wapo mtegoni kufuatia ripoti ya kocha Luc Eymael kumtaja Kelvin Yondani katika orodha ya mastaa ambao anaweza kuwatema ili kusajili vifaa vipya klabuni hapo. Licha ya ripoti …
Luc Eymael
-
-
Licha ya kuzagaa kwa taarifa za klabu ya Yanga kumhitaji kiungo wa Simba sc Cletous Chama,Kocha wa klabu ya Yanga sc Luc Eymael amedai hizo ni bla bla za usajili …
-
Kocha mkuu wa timu ya Yanga, Luc Eymael leo amefunga ndoa ya kimya kimya na mpenzi wake Patricia Abbruzzese nchini Afrika Kusini kutokana na mlipuko wa homa ya virusi vya …
-
Kocha wa Simba Sven Vanden Broeck amepewa Onyo Kali kwa kosa la kugoma kuwafungulia mlango mwamuzi na Kamishina wa mchezo wakati wa ukaguzi wa timu katika mechi hiyo iliyochezwa Februari …
-
Kiungo mshambuliaji wa Yanga Bernard Morrison amesema anapofanya mbwembwe uwanjani halengi kuwadhihaki timu pinzani bali ni mahsusi kwa ajili ya kuwapa burudani mashabiki ambao wamelipa viingilio kuingia uwanjani Aidha Bernard ameongeza …
-
Kocha wa zamani wa Yanga Mwinyi Zahera ameonyesha kukubaliana na mbinu za kocha mpya wa klabu ya Yanga Luc Aymael ambaye amejiunga na klabu hiyo hivi karibuni. Kocha huyo Mbeligiji …
-
Taarifa kutoka ndani ya klabu ya Yanga sc zinadai baada ya kumalizana na kocha Luc Aymael kuwa kocha mkuu wa klabu hiyo na pia kumpata kocha wa Viungo Riedoh Berdien,Timu …
-
Mabingwa wa kihistoria Yanga wamemleta kocha mpya Luc Eymael kutoka Ubelgiji nchini Januari 9 ambapo alitua saa tisa alasiri na kuunganishwa moja kwa moja Zanzibar kutazama vijana wake. Luc Eymael amepewa …