Simba Sc leo imeibuka na ushindi wa mabao 6-0 mbele ya AFC leo kwenye mchezo wa kirafiki uliochezwa uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha. Bao la kwanza na la …
Luis Miquisson
-
-
Uongozi wa Simba Sc umesema kuwa Luis Miqussone’Konde Boy’Â bado hajarejea bongo kwa ajili ya maandalizi ya ligi kwa sababu aliomba ruhusa aende akaoe. Luis amekuwa bora msimu wa kwanza …
-
Kiungo wa Simba Sc, Luis Miquissone leo Agosti 2,2020 amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam. Luis amehusika kwenye mabao yote mawili ya …
-
Kocha mkuu Simba Sc, Sven Vandenbroeck ameweka wazi kuwa kwa sasa anahitaji viungo wakali wenye uwezo kama Luis Miqussone ambao anaamini watampa matokeo ndani ya uwanja. Miqusssone ambaye ni kiungo …
-
Kiungo Luis Miqquisone ameendelea kuonyesha ubora wake baada ya jana kufunga mabao mawili katika ushindi wa Simba sc dhidi ya Kmc ligi kuu Tanzania bara. Kiungo huyo aliyesajili kutoka Ud …
-
Klabu ya Yanga inamfatilia kwa ukaribu nahodha wa timu ya Ud songo ya Msumbiji Luis Miquisson mwenye miaka 24 ambaye huvaa jezi namba 17Â pia anaichezea timu ya taifa ya …