Timu ya soka ya wanawake ya Simba queen imefanikiwa kusaini mkataba udhamini wa miaka mitano na kampuni M-Bet wenye thamani fedha za kitanzania shilingi bilioni moja ambapo kampuni hiyo ndio …
Tag:
m-bet
-
-
Klabu ya Simba sc imefanikiwa kupata udhamini mnono wa kutoka kampuni ya kubashiri ya M-beti ambayo ndiyo itakua mdhamini mkuu wa klabu hiyo yenye jina kubwa Afrika kwa sasa. Simba …
-
Klabu ya Simba sc imefanikiwa kuingia mkataba wa udhamini wa jezi na kampuni ya michezo ya kubashiri ya M-bet mkataba ambao unasidikika kuwa ni mnono kwa muda wa miaka mitano …
-
Timu ya manispaa ya kinondoni (Kmc) imeingia udhamini mnono wenye thamani ya Bilioni moja na kampuni ya kubashiri ya M-bet baada ya kusaini mkataba wa miaka mitano. Akiongea na waandishi …