Yanga Sc imepata ushindi leo Octoba,3,2020 wa mabao 3-0 mbele ya Coastal Union katika mchezo wa ligi kuu bara uliofanyika uwanja wa Mkapa majira ya saa 1:00 usiku. Kipenzi cha …
mabao
-
-
Bayern Munich imenyooshwa kwa kuchapwa mabao 4-1 mbele ya Hoffenheim kwenye mchezo wa Bundesliga uliochezwa jana kwenye uwanja wa Rhein-Neckar. Mabao ya Hoffenheim yalipachikwa na Ermin Bicakcic dakika 16, Mu’nas …
-
Mtibwa Sugar imekuwa ikipata matokeo mazuri pindi inapokuwa nyumbani dhidi ya Yanga Sc ambapo katika mechi tano za mwisho walizokutana kwenye uwanja huo imeibuka na ushindi mara mbili, sare mara …
-
Kocha Mkuu wa West Ham United, David Moyes pamoja na wachezaji wawili wamekutwa na virusi vya Corona jana kabla ya kuanza raundi ya tatu ya mchezo wao wa Carabao Cup …
-
PSG waliyeyushwa mazima siku ya jana na kupoteza pointi tatu baada ya kufungwa bao moja na klabu ya Marseille kwenye mchezo wa league 1 uwanja wa Parc des Princes. Bao …
-
KMC imeibuka na ushindi wa mabao 4-0 mbele ya Mbeya City kwenye mchezo wa ligi kuu bara uliochezwa leo Septemba7 uwanja wa Uhuru. Mabao ya KMC yalipachikwa na Israel Patrick …
-
Kikosi cha Simba Sc kimewasili jijini Dar es Salaam leo kikitokea Mbeya ambapo kilikuwa na mchezo wa kwanza wa ufunguzi wa ligi kuu bara dhidi ya Ihefu Fc. Mchezo huo …
-
Simba Sc leo imeibuka na ushindi wa mabao 6-0 mbele ya AFC leo kwenye mchezo wa kirafiki uliochezwa uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha. Bao la kwanza na la …
-
Azam Fc imewachapa mabao 2-1 Namungo Fc katika sikukuu yao ambayo ilihudhuriwa na umati wa mashabiki katika uwanja wao wa Chamazi,Azam Complex. Azam Festival imehudhuliwa na wasanii wakubwa maarufu mmoja …
-
Play offs ya kwanza ya siku ya leo July 29,imewapa Ihefa ushindi wa mabao 2-0 mbele ya Mbao FC ya Felix Minziro wakiwa uwanja wa ugenini wa Highland Estates. Bao …