Azam Fc imezidi kujiwekea rekodi nzuri ndani ya msimu huu mpya wa ligi kuu bara 2020/2021 baada kufika raundi ya sita pasipo kufungwa wala kutoa sare ya kufungana. Kikosi hicho …
Mabingwa
-
-
Simba Sc wamelifungua vyema pazia la Ligi kuu bara baada ya kunyakua pointi tau kutoka kwa Ihefa Fc iliyoburuzwa kwa mabao 2-1. John Bocco ambaye ni nahodha wa klabu hiyo …
-
Simba Sc imefanikiwa kutwaa taji la ngao ya jamii leo kwenye mchezo uliochezwa uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha. Wanamsimbazi hao wametwaa taji hilo baada ya kuibuka na ushindi …
-
Nahodha wa kikosi cha Arsenal,Pierre Emerick Aubameyang ameiongoza timu yake kutwaa mataji mawili muhimu mfululizo kwa msimu wa 2019/2020 ambayo ni kombe la FA na ngao ya jamii lililopatikana kwenye …
-
Kikosi cha Simba kimewasili leo jijini kikitokea Sumbawanga ambapo kilikuwa na mchezo wa fainali dhidi ya Namungo FC ambao walipigwa mabao 2-1 katika Uwanja wa Nelson Mandela. Wanamsimbazi hao wamerejea …
-
Nyota watatu kutoka ardhi ya Tanzania ambao ni Thomas Ulimwengu, Ramadhani Singano na Eliud Ambokile ni miongoni mwa waliobeba ubingwa na TP Mazembe baada ya timu hiyo kutangazwa mabingwa wa …
-
Klabu ya PSG imetagazwa mabingwa wa ligi kuu nchini Ufaransa Ligue 1 baada ya serikali kuamua kufuta michezo yote kwa mwaka huu kutokana na janga la ugonjwa wa covid-19. Awali …