Bayern Munich bado wana nia ya kupata saini ya winga Leroy Sane kutoka Manchester City licha ya kuyumba kwa uchumi kutokana na janga la virusi vya corona . Mkurugenzi wa …
man city
-
-
Ushindi walioupata Manchester United wa maba 2-0 dhidi ya Manchester City umeitengenezea nafasi kubwa Liverpool ya kutwaa ubingwa kwani atakuwa na mechi mbili tu ili kutanga ubingwa wake wa kwanza …
-
Man city Waajiri mwanasheria,kumlipa milioni 59 kwa siku kuhakikisha wanashinda rufaa ili kushiriki Uefa msimu ujao.
-
Pep Guardiola amedai kwamba Manchester City huenda ikamfuta kazi iwapo watashindwa kuilaza Real Madrid katika kombe la mabingwa Ulaya katika mchezo utakaochezwa february 26 mwaka huu. Hata hivyo kufutwa kazi …
-
Manchester City imeondoa uwezewekano wa mlinzi wake wa kati Muingereza John Stones, 25, kujiunga na miamba ya London Arsenal katika dirisha hili la usajili. (Manchester Evening News) Kocha Pep Guardiola …
-
Kocha wa manchester city Pep Guardiola amelalamika kitendo cha mwamuzi wa video(Var) kumnyima penati mbili wakati akipokea kipigo cha mabao 3-1 dhidi ya Liverpool katika uwanja wa Anfield na kuweka …
-
Ni kama mkosi umemuandama Pep Guardiola na timu yake ya Manchester city baada ya kuandamwa na majeruhi katika wachezaji wanaocheza nafasi muhimu katika kikosi hicho. Baada ya wiki iliyopita kumkosa …
-
Timu ya soka ya Manchester city chini ya kocha Pep Guardiola imechezea kipigo cha magoli 3-2 dhidi ya Norwich city katika mchezo wa ligi kuu ya Uingereza uliofanyika katika uwanja …