Klabu ya Manchester United imethibitisha kufikia makubaliano na klabu ya Wolves juu ya kumsajili mshambuliaji Matheus Cunha kwa ada ya uhamisho ya pauni Milioni 62.5 ili kujiweka sawa na msimu …
man utd
-
-
Mabosi wa klabu ya Manchester United wamefikia maamuzi magumu ya kuachana na kocha Erick Ten Hag baada ya kudumu nae kwa takribani misimu miwili. Mabosi hao wameachana na kocha huyo …
-
Klabu ya Manchester United i8mefanikiwa kupata ushindi wa  kibabe sana katika moja ya mechi ngumu kwenye Kombe la FA baada ya kuifunga Liverpool Fc kwa mabao 4-3 katika mchezo uliochezwa …
-
Klabu ya Manchester United ina mpango wa kumchukulia hatua za kinidhamu Antony Santos kufuatia mashtaka yanayomkabili ya unyanyasaji na kutishia kifo ambayo amefunguliwa hivi karibuni na aliyekuwa mpenzi wake Gabriela …
-
Klabu ya Arsenal imefanikiwa kuibuka na alama tatu katika mchezo wa ligi kuu ya Uingereza dhidi ya Manchester United katika mchezo uliofanyika katika uwanja wa Emirates jijini London baada ya …
-
Licha ya kuongoza kwa mabao 2-0 dhidi ya Tottenham mpaka kipindi cha kwanza lakini Manchester United imeshindwa kuvuna alama tatu na kulazimishwa sare ya 2-2 katika mchezo huo wa ligi …
-
Klabu ya Manchester United imefanikiwa kufuzu hatua inayofuata ya michuano ya kombe la F.A nchini Uingereza baada ya kuifunga timu ya Westham Fc kwa mabao 3-1 katika mchezo uliofanyika katika …
-
Klabu ya Manchester United imekua na matokeo mazuri mfululizo baada ya kufanikiwa kuwachapa Everton 3-1 katika mchezo wa ligi kuu uliofanyika katika uwanja wa Old Trafford jijini Manchester ikiwa ni …
-
Jahazi lilikua limeshazama kwa Manchester United ambao walilazimika kusawazisha dakika za mwishoni za mchezo wa ligi kuu dhidi ya Chelsea katika uwanja wa Stamford Bridge ambapo makosa ya kiungo Scott …
-
Klabu ya Manchester united imefikia makubaliano na Fc Ajax ya kumnunua beki Lisandro Martinez kwa dau linalotajwa kuwa kiasi cha paundi milioni 46 ambapo sasa mchezaji anakamilisha taratibu zingine ndogondogo …