Licha ya kuwa ugenini klabu ya Arsenal imefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Manchester united katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa katika uwanja wa Old Trafford jijini …
man utd
-
-
Klabu ya Southampton imeharibu ndoto ya mashabiki wengi wa Manchester United ya kumaliza katika nafasi ya nne baada ya kusawazisha bao dakika za lala salama na kufanya matokeo ya mechi …
-
Manchester United imeibuka na ushindi wa Mabao 3-0 dhidi ya Aston Vila mchezo wa ligi kuu nchini Uingereza uliofanyika katika uwanja wa Vila Park. Mabao ya Man utd yaliwekwa na …
-
Kiungo mkongwe wa klabu ya Manchester United Nemanja Matic amesaini mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo mpaka mwaka 2023. Staa huyo alijiunga na Man united mwaka 2017 akitokea Chelsea …
-
Taarifa kutoka nchini Ujerumani zinaripotiwa kuwa Jodan Sancho amekubali kujiungua na Manchester United na atasaini mkataba wa miaka 5 kwenye dirisha la usajili la majira ya joto yaliyoanza hivi sasa. …
-
Timu ya Manchster United imeendelea kukomalia nafasi nne za juu baada ya jana kuifunga timu ya Brightons mabao 3-0 huku Bruno Fernandes akiendelea kuonyesha kiwango kizuri baada ya kufunga mabao …
-
Kinda wa klabu ya Manchester United Angel Gomez anatarajiwa kuondoka klabuni hapo baada ya kugoma kuongeza mkataba wa kuitumika klabu hiyo. Kinda huyo aliyeanza kucheza klabuni hapo tangu akiwa na …
-
Athony Martial amefunga Hat trick yake ya kwanza baada ya Takribani miaka saba baada ya kuisadia Manchester United kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Shelfied United katika uwanja …
-
Mshambuliaji Odion Ighalo amesema kikosi cha sasa cha Manchester United kipo katika hali nzuri tayari kwa msimu wa ligi ya EPL kikisubiri kwa hamu mechi hizo kurejewa . Michuano ya …
-
Klabu ya Man utd imeanzisha mazungumzo na Ajax juu ya kumsajili kiungo Donny Van De Beek kutokana na taarifa nchini Uholanzi. Awali iliripotiwa kwamba Real Madrid imekubaliana na Ajax kiasi …