Manchester United na Real Madrid wanachunguza hali ya mshambuliaji wa Inter Milan na Argentina Lautaro Martinez, 22 baada ya mazungumzo ya kuhamia Barcelona kugonga mwamba. (Marca via Mirror) Klabu ya …
man utd
-
-
Manchester United imeweka kipaumbele katika usajili wa nahodha wa Aston Villa Jack Grealish, 24, msimu huu lakina inaweza kubadili mipango yake ikiwa mchezaji Kai Havertz wa klabu ya Bayer Leverkusen …
-
Klabu ya Manchester United imefikia makubaliano na klabu ya Shangai Shenghua juu ya mchezaji Odian Ighalo ambaye atasalia klabuni hapo hadi julai 31 mwisho wa msimu wa ligi kuu nchini …
-
Bayern Munich wanataka kumsajili winga wa Manchester City Leroy Sane Bayern Munich wanataka kumsajili winga wa Manchester City, raia wa Ujerumani Leroy Sane , 24,na Kai Havertz, 20, kutoka Bayer …
-
Staa wa klabu ya Manchester United Bruno Fernandes amekubali uwezo wa staa wa klabu hiyo Paul Pogba ambaye alikua nje ya uwanja kutokana na majeraha ya mguu. Bruno ambaye toka …
-
Mshambuliaji wa klabu ya Tottenham Harry Kane ataigharimu Manchester United kiasi cha Paundi milioni 200 ili kukamilisha usajili wa kujiunga na klabu hiyo. Kwa mujibu wa mitandao mbalimbali ya michezo …
-
Kiungo wa zamani wa Man Utd Paul Scholes anaamini kwamba Manchester United bado inahitaji wachezaji wengine wasiopungua wanne ili kuwa kwenye viwango vya kuchuana Liverpool kwenye Ligi Kuu England, licha …
-
Mshambuliaji wa klabu ya Manchester United Odian Ighalo amesema anafurahia maisha ndani ya klabu hiyi kutokana na uwepo wa ukaribu wake na mastaa watatu wa klabu hiyo. Ighalo aliyesajiliwa kutoka …
-
Mshambuliaji wa Inter Milan Romelu Lukaku, amesema kuwa kwasasa ameimarika zaidi tangu alipo hamia Inter Milan kutoka Manchester United. Akizungumza na mshambuliaji wa zamani wa Arsenal Thierry Henry kupitia Instagram …
-
Manchester United ianajiandaa kutangaza dau la kumnunua mlinzi wa Juventus na Uholanzi Matthijs de Ligt, 20, huku kiungo wa kati wa Ufaransa Paul Pogba, 27, akiwa tayari kuondoka Old Trafford. …