Manchester United wanatafakari uwezekano wa kuwasajili mkurugenzi wa zamani wa michezo Paris St-Germain, Antero Henrique na mkuu wa michezo wa RedBull Salzburg Ralf Rangnick ili kuchukua jukumu la ukurugenzi wa …
man utd
-
-
Klabu ya Manchester united inaamini itaipiku Chelsea kwenye mbio za kuwania saini ya Kiungo mshambuliaji na winga Jodan Sancho anayechezea klabu ya Dortmund ya Ujerumani. Jordan Sancho anadaiwa kuwa na …
-
Mshambuliaji wa Manchester United Odion Ighalo atakosa mazoezi na klabu hiyo nchini Uhispania kutokana na hofu kwamba virusi vya corona vinaweza kumzuia kuruhusiwa kuingia nchini Uingereza . Ighalo mwenye umri …
-
Hatimaye tetesi za muda mrefu kuhusu usajili wa kiungo Bruno Fernandes kutoka Sporting Lisbon kwenda Man United zimefika kikomo baada ya dili hilo kukamilika rasmi. Sporting wamethibitisha taarifa za kumuuza …
-
Manchester City imeondoa uwezewekano wa mlinzi wake wa kati Muingereza John Stones, 25, kujiunga na miamba ya London Arsenal katika dirisha hili la usajili. (Manchester Evening News) Kocha Pep Guardiola …
-
Manchester United imeibuka kinara wa kundi L baada ya hapo jana usiku kuibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Az Alkamaar katika mchezo wa ligi ya ulaya uliofanyika katika …
-
Ni kama wana ugonjwa mmoja baada ya wote kuambulia sare katika michezo ya ligi kuu nchini Uingereza na kuzidi kudidimiza matumaini ya kumaliza katika nafasi ya nne bora. United ilibanwa …
-
Meneja wa Wolves Nuno Espirito Santo ndiye meneja aliye mstari wa mbele kuchukua nafasi ya Unai Emery kama meneja wa Arsenal (Mail) Wahudumu wa Arsenal wanaamini kuwa kocha Unai Emery …
-
Ni kama wanaanza kurudi katika hali yao ya zamani baada ya jana kulazimisha sare ya mabao 3-3 dhidi ya sherrified united ugenini. United walilazimika kusawazisha mabao mawili ya John Fleck …
-
Manchester City wapo katika mazungumzo na mshambuliaji Raheem Sterling kwa ajili ya kumuongezea mkataba mpya ambao utamfanya nyota huyo wa Kiingereza kuingiza kibindoni Pauni 300,000 kwa wiki. ( Daily Mail …