Mwandishi wa habari wa saudi Arabia Moaid Mahjoub ni mtu pekee ambae ndo aliyevujisha habari kuwa klabu ya manchester United imeuzwa kwa matajiri wa kiarabu wakiongozwa na mtoto wa mafalme …
man utd
-
-
Timu za Manchester United na Liverpool zimeshinda michezo yao ya jana katika michuano ya Carabao na kufanikiwa kuingia hatua ya robo fainali ya michuano hiyo. United imeungana na Liverpool baada …
-
Barcelona ingependa kumchukua mshambuliaji wa kimataifa wa timu ya Ufaransa na Paris St-Germain Kylian Mbappe, ambaye sasa ana umri wa miaka 20, na mshambuliaji wa kati Tottenham Harry Kane,mwenye umri …
-
Kufanya vibaya kwa klabu ya manchester united ndani ya uwanja kumeanza kuleta balaa baada ya mdhamini mkuu wa jezi za klabu hiyo kampuni ya magari ya General motor ambayo kupitia …
-
Kocha wa timu ya Manchester United Olle Gunnar Solskajaer anakabiliwa na hatihati ya kutimuliwa klabuni hapo endapo atapoteza mchezo wa ligi kuu dhidi ya Liverpool katika uwanja wa Old Trafford …
-
Beki mswedeni wa Manchester united Victor Lindeloff amesaini mkataba mpya wa miaka minne wenye kipengele cha kuongeza mmoja zaidi kuendelea kusalia Old Trafford mpaka msimu wa 2024. Beki huyo aliyesajiliwa …
-
Baada ya sekeseke la muda mrefu hatimaye kipa wa Manchester united David De Gea amesaini mkataba mpya utakaomuweka klabuni hapo hadi mwaka 2023 huku akiwa kipa anayelipwa zaidi duniani. De …
-
Timu ya manchester united inatarajiwa kuvaana na Wolverhampton Wonders katika mechi ya ligi kuu ya soka nchini Uingereza ikiwa ni mchezo wa raundi ya pili wa ligi hiyo yenye wafuasi …
-
Timu za manchester united na Juventus zipo katika mazunguzo ya kubadilishana wachezaji Romelu Lukaku na Paulo Dybala ili kuboresha vikosi vyao kwa msimu ujao. Lukaku amekosa nafasi katika kikosi cha …
-
Nahodha wa Sporting Lisbon Bruno Fernandes ameangua kilio wakati akiicheza timu hiyo mechi ya mwisho dhidi ya Valencia akijiandaa kukamilisha uhamisho wake kujiunga na Manchester united kwa thamani ya paundi …