Kikosi cha Manchester United kimeendelea kuonyesha makali katika michuano ya Icc baada ya jana kuifunga timu ya Tottenham kwa mabao 2-1 katika mchezo uliofanyika nchini China. Athony Martial ameendelea kuonyesha …
man utd
-
-
Kipa wa manchester united David De Gea anajiandaa kusaini mkataba mpya klabuni hapo utakaomfanya kuwa golikipa anayelipwa zaidi duniani. Mkataba huo mpya wa miaka sita utamfanya kipa huyo kuweka kibindoni …
-
Mkufunzi wa timu ya manchester united Ole Gunnar Solskjaer amethibitisha kuwa kiungo Paul Pogba atasalia klabuni hapo kwa msimu ujao wa ligi kuu ya Uingereza licha ya kuvutika na uhamisho …
-
Manchester United imekamilisha usajili wa beki Aaron Wan-Bissaka kutoka klabu ya Crystal Palace kwa kiasi cha paundi 50m bei ambayo imemfanya beki huyo kuwa beki wa pembeni ghali zaidi kwa …
-
Mshambuliaji wa Atletico Madrid Antoine Griezmann atajiunga na barcelona msimu ujao baada Mtendaji mkuu wa club ya Atletico Madrid kuthibitisha kuwa suala hilo lilishafikiwa muafaka tangu machi mwaka huu na …