Kiungo mkabaji wa Simba Sc, Gerson Fraga atakuwa nje kwa wiki tatu hadi nne baada ya kupata majeraha ya goti siku ya Jumapili ilipocheza na Biashara United. Taarifa hiyo imethibitishwa …
manara
-
-
Mkuu wa idara ya habari na mawasilianao klabu ya Simba sc Haji Manara leo amefika ofisi za makao makuu ya shirikisho la soka nchini (Tff) kulipa faini ya shilingi milioni …
-
Kamati ya maadili ya shirikisho la soka Tanzania (TFF) imewatoza faini ya shilingi milioni tano,ofisa habari wa Simba Sc, Haji Manara, ofisa habari wa Yanga Sc, Hassan Bumbuli pamoja na …
-
Mkuu wa kitengo cha habari ndani ya klabu ya Simba sc Haji Manara amemjibu Msemaji wa klabu ya Azam Fc Zaka Zakazi ambaye alisema klabu ya Simba sc imetwaa ubingwa …
-
Uhasama wa kutupiana maneno umeibuka kati ya mkuu wa idara ya habari katika klabu ya Simba sc Haji Manara pamoja na Mkuu wa Kitengo cha habari klabu ya Yanga Hassan …
-
Afisa habari wa klabu ya Simba Sc, Haji Manara amefunguka kuwa anakosa amani kwani kila anapowaza janga la virusi vya Corona hajui litakwisha lini pia anafikiria kama itawezekana tena dunia …
-
Msemaji wa klabu ya Simba sc Haji Sunday Manara amefika makao makuu ya klabu ya Yanga sc kurejesha kiasi cha pesa alichochangiwa na mashabiki wa timu hiyo wakati akiwa mgonjwa …
-
Kocha wa Simba Sven Vanden Broeck amepewa Onyo Kali kwa kosa la kugoma kuwafungulia mlango mwamuzi na Kamishina wa mchezo wakati wa ukaguzi wa timu katika mechi hiyo iliyochezwa Februari …
-
Bosi mpya wa klabu ya Simba sc Senzo Masingizi ameoneshwa kufurahishwa na kazi ya Afisa habari wa klabu hiyo Haji Manara kuhamasisha mashabiki wa timu hiyo kujaa uwanjani na kuipenda …
-
Timu ya Simba sc kupitia kwa Afisa Habari wa klabu hiyo Haji Manara imetangaza viingilio vya mechi hiyo ya kimataifa dhidi ya Ud songo ya Msumbiji mchezo utajaofanyika siku ya …