Lionel Messi ametangaza kubakia Barcelona msimu wa 2020/2021 kutokana na ugumu wa masuala ya kisheria yaliyomo kwenye mkataba wake yanayomzuia kuondoka ndani ya klabu hiyo. Manchester City itakosa huduma ya …
Manchester City
-
-
Timu inayozidi kuilinda nafasi yake ya pili kwenye msimamo wa ligi kuu England ,Manchester City imewapiga mabao 2-0 AFC Bournemouth katika uwanja wa Etihad Stadium huku mechi ikisimamiwa na refa …
-
Taarifa kutoka nchini Ujerumani na England zinadai kwamba klabu za Bayern Munich na Manchester City zipo kwenye mazungumzo ya mwisho kwa ajili ya kufanikisha usajili wa winga wa Manchester City …
-
Nyota wa kikosi cha Manchester City ambao ni mabingwa watetezi wa kombe la ligi kuu England,David Silva amesema kuwa hatakuepo ndani ya timu hiyo msimu ujao wa 2020/21 kwani anaweza …
-
Mshambuliaji wa Manchester City, Sergio Aguero anaweza kusepa ndani ya kikosi hicho pale mkataba wake utakapofika tamati mwaka 2021 na inaelezwa kuwa ana mpango wa kurejea kwenye klabu yake iliyomkuza …
-
Kiungo wa Manchester City ambaye pia ni raia wa Ubelgiji,Kelvin De Bruyne anaweza kusepa mda wowote ndani ya kikosi chake kama rufaa ya klabu hiyo ya kufungiwa miaka miwili kucheza …
-
Mshambuliaji wa Manchester City nchini Uingereza, Sergio Aguero amesema kuwa wanahofia kurejea uwanjani wakati huu ambapo janga la Covid-19 halijadhibitiwa vilivyo takribani mataifa yote duniani . Ligi Kuu ya Uingereza …
-
Kiungo wa Manchester City ,Kevin De Bruyne ameonyesha kumkubali Sadio Mane wa Liverpool ili tuzo ya mchezaji bora msimu huu iende Liverpool kwani amekuwa zawadi mwaka huu ndani ya kikosi …
-
Licha ya kupoteza mchezo wa jana dhidi ya klabu ya Manchester City,Staa wa timu ya Aston Villa na Timu ya Taifa ya Tanzania Mbwana Samatta ameweka rekodi ya kuwa Mtanzania …
-
Supastaa wa Tanzania, Mbwana Samatta atakuwa na shughuli nzito kesho ya Kukiongoza kikosi cha ushambuliaji wa Aston Villa kukabiliana na Manchester City chini ya kocha wake muhispaniola ,Pep Guardiola kwenye …