Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na bosi wa Timu ya mpira wa Miguu ya Manchester United Sir Jim Ratcliffe …
Manchester United
-
-
Ni aibu baada ya klabu ya Manchester United kupoteza mchezo wa ligi kuu dhidi y Liverpool baada ya kukubali kichapo kikubwa cha kihistoria cha mabao 7-0 katika mchezo uliofanyika katika …
-
Tambo za mashabiki wa klabu ya Manchester United zimekua nyingi hasa baada ya timu hiyo kufanikiwa kuisambaratisha Manchester City kwa mabao 2-1 katika mchezo wa ligi kuu nchini Uingereza uliofanyika …
-
Staa wa klabu ya Manchester United Cristiano Ronaldo amefunguka mambo mazito wakati akizungumza na mwandishi wa habari Piers Morgan ambapo alifunguka kwa umdani kuhusu maisha yake ndani ya klabu hiyo …
-
Klabu ya Manchester United imekubali kipigo cha mabao 3-1 kutoka kwa Aston Villa katika mchezo wa ligi kuu nchini Uingereza uliofanyika katika uwanja wa Villa Park nchin humo. Mpaka kufikia …
-
Nyota wa klabu ya manchester united, Cristiano Ronaldo (37), hii leo amerejea mazoezini pamoja na Wachezaji wenzake katika kikosi cha kwanza baada ya kuondolewa kwa muda kwenye kikosi hicho kutokana …
-
Klabu ya Manchester United imeibuka na alama tatu katika mchezo wa ligi kuu nchini Uingereza dhidi ya Tottenham baada ya kuifunga mabaoa 2-0 katika mchezo mzuri na wa kuvutia uliofanyika …
-
Klabu ya Manchester united chini ya kocha Erick Ten Hag imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Liverpool fc katika mchezo wa mzunguko wa tatu wa ligi kuu …
-
Klabu ya Manchester United imefungwa mabao 4-1 na Manchester City katika mchezo wa ligi kuu nchini Uingereza uliofanyika katika uwanja wa Ettihad jijini Manchester. Mabao mawili ya Kelvin De Bryune …
-
Baada ya kupitia kipindi kigumu katika michezo mbalimbali ya ligi kuu nchini Uingereza hatimaye klabu ya Manchester United imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 ugenini dhidi ya Villareal inayonolewa …