Azam Fc na Simba Sc wametoka suluhu ndani ya dakika tisini katika mchezo wa pili wa nusu fainali kombe la mapinduzi visiwani Zanzibar,uwanja wa Amaan. Simba imetinga hatua ya fainali …
mapinduzi
-
-
Timu ya soka ya Yanga sc imetolewa kwenye michuano ya kombe la mapinduzi baada ya kufungwa kwa mikwaju ya penati na Mtibwa Sugar baada ya kutoka sare ya bao 1-1 …
-
Kiungo wa Yanga Mapinduzi Balama ameibuka mchezaji bora wa mechi ya watani wa jadi Simba sc na Yanga baada ya kuonyesha kiwango bora na kupelekea kupewa tuzo ya mchezaji bora …
-
Nyota wa Yanga kijana Mapinduzi balama sasa wanamuita “kipenseli” ni kijana mzaliwa wa mkoa wa Iringa. ni moja kati ya wachezaji wenye viwango bora kabisa nchini. Mchezaji huyu ni moja …
-
Klabu ya Yanga sc imefanikiwa kumsaini kiungo wa klabu ya Alliance ya Mwanza Balama Mapinduzi kwa mkataba wa miaka mitatu ili kuwasaidia katika msimu ujao wa ligi kuu Tanzania bara …
-
UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, leo umeingia mkataba wa miaka miwili na Kocha Etienne Ndayiragije, kwa ajili ya kuinoa timu hiyo kuanzia msimu …