Westham United ya nchini England leo Octoba 15,imetangaza kumfungia kwa miaka mitatu kuingia uwanjani shabiki wake,Bradley Thumwood kwa kosa la kumbagua Mohammed Salah wa liverpool katika mchezo uliofanyika February 2019 …
mashabiki
-
-
Taarifa zinaeleza kuwa huenda mashabiki wa soka nchini Uingereza wanaweza kurejea tena viwanjani hivi karibuni baada ya mashabiki hao kutoa ombi lililopata saini nyingi bungeni hapo na kupangwa kujadiliwa Novemba …
-
Klabu ya Young Africans Sc imetozwa faini ya laki tano (500,000) kwa kosa la mashabiki wa timu yake kuonyesha vitendo vya utovu wa nidhamu kwa kuwapiga na kuwachania jezi mashabiki …
-
Nyota mpya wa mabingwa wa kihistoria Tanzania bara, Yanga Sc “Carlos Stenio Guimaraes do Carmo” maarufu kama Carlinhos ametoa shukrani zake za dhati kwa mashabiki wote wa klabu hiyo kwa …
-
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Tamaduni na Michezo Dk.Hassan Abassi ameruhusu mashabiki kuingia uwanjani katika michezo ya ligi kuu Tanzania bara inayotarajiwa kuanza kutimua vumbi Juni 13. Licha ya …
-
Zifuatazo ni tarehe muhimu katika juhudi za kurejesha soka la Uingereza katika kipindi hiki cha Janga la Covid-19, hiyo ni mara baada ya kikao cha jana kufanyika na vilabu vyote …
-
Mashabiki wa klabu ya Yanga hawajafurahishwa hata kidogo na Maamuzi ya Mwamuzi,Ally Sasi aliyokuwa akiyatoa jana kwenye mchezo wa ligi kuu uliomalizika kwa matokeo ya sare (1-1) dhidi ya KMC …
-
Baada ya kutoka sare ya bao 1-1 na Pamba fc katika mchezo wa kirafiki jijini Mwanza baadhi ya mashabiki jijini humo wameoneshwa kutofurahishwa na matokeo hayo huku pia kiwango cha …