Mabao mawili ya mshambuliaji Lionel Ateba yameiokoa klabu ya Simba Sc na kuondoka na alama tatu katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc nchini dhidi ya Mashujaa Fc uliofanyika katika …
Mashujaa Fc
-
-
Klabu ya Yanga sc imefanikiwa kuchukua alama tatu katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc nchini dhidi ya Klabu ya Mashujaa Fc baada ya kuifunga klabu hiyo kwa 5-0 mchezo …
-
Mshambuliaji wa klabu ya Yanga sc Prince Mpumelelo Dube amefungua rasmi akaunti ya mabao katika ligi kuu ya Nbc nchini baada ya kupachika mabao 3 katika ushindi wa 3-2 ilioupata …
-
Klabu ya Yanga sc ikielekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mashujaa Fc imetangaza kuwakosa mastaa wake Djigui Diarra sambamba na Cletous Chama kutokana na kusumbuliwa na majeraha waliyoyapata katika …
-
Mshambuliaji wa klabu ya Simba Sc Steven Mukwala ameisaidia klabu yake ya Simba Sc kuibuka na ushindi wa 1-0 katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc nchini dhidi ya Klabu …
-
Mshambuliaji wa zamani wa vilabu vya Simba sc na Yanga sc Benard Morrison amejiunga na klabu ya mashujaa Fc ambayo ipo jijini Dar es salaam kwa mazoezi ya gym akijiweka …
-
Klabu ya Mashujaa Fc imekamilisha usajili wa wachezaji wawili beki wa kati Carlos Protas akitokea Biashara United ya mkoani Mara sambamba na aliekua mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Simba …
-
Kikosi cha timu ya Mashujaa Fc kimefanikiwa kuchukua alama moja katika mchezo uliomalizika kwa 0-0 dhidi ya Azam Fc katika uwanja wa Chamazi Complex jijini Dar es salaam baada ya …
-
Klabu ya Simba sc imefanikiwa kuibuka na ushindi wa alama tatu baada ya kuifunga Mashujaa Fc kwa bao 1-0 katika mchezo uliofanyika katika uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma ambapo …
-
Kikosi cha timu ya Simba sc kimewasili mkoani Kigoma kuivaa Mashujaa Fc katika mchezo wa ligi kuu nchini utakaofanyika katika uwanja wa Lake Tanganyika siku ya Jumamosi saa kumi jioni. …