Klabu ya Yanga sc imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mbao Fc katika mchezo wa kombe la shirikisho la Azam Sports uliofanyika katika uwanja wa Ccm Kirumba jijini …
mbao fc
-
-
Aliyekuwa Mkurugenzi wa ufundi wa zamani wa Shirikisho la Soka Tanzania “TFF” na kocha wa zamani wa timu za Taifa ya Tanzania(taifastars)_ Ammy Ninje, Yupo katika hatua za mwisho kuinunua …
-
KMC Fc imekamilisha usajili wa golikipa kutoka Mbao Fc ,Raheem Sheikh kwa mkataba wa mwaka mmoja. Uongozi huo umeamua kumsajili kipa huyo kwa imani kubwa kuwa atakuwa msaada mkubwa kwa …
-
Fred Felix Minziro ambaye anainoa Mbao Fc ya Mwanza amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa mwezi Julai kwenye Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) msimu wa 2019/20 akiwashinda Amri Said wa Mbeya …
-
Klabu ya Mbao Fc ya jijini Mwanza imeendelea kupata ushindi baada ya kuifunga Namungo Fc mabao 3-0 katika mchezo uliochezwa jijini Mwanza. Mabao ya Mbao Fc yalifungwa mapema kipindi cha …
-
Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa Simba Sc,Mohammed Dewji ambaye pia ni mwekezaji wa simba amewaambia wekundu hao wa msimbazi wajipange kwa ajili ya kombe la shirikisho la Azam (ASFC) …
-
Kikosi cha Simba Sc klabu leo kimekubali kipigo cha mabao 3-2 mbele ya klabu ya Mbao Fc kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Taifa. Mbao ilianza kupachika …
-
Klabu ya Mbao FC ikiwa kwenye presha ya kushuka daraja leo inakutana na Coastal Union mchezo utakaopigwa kwenye uwanja wa CCM Kirumba  jijini Mwanza. Mbao ambayo imecheza mechi 30 hadi …
-
Klabu ya Azam imetumia ndege binafsi kumleta jijini Dar es salaam beki wake wa kulia, Nicolas Wadada aliyekuwa amekwama nchini kwao Uganda kutokana na uwepo wa zuio la kutotoka nje …
-
Licha ya uongozi wa klabu ya Mbao fc kuwaita wachezaji wake kambini kujiandaa na michezo ya ligi kuu iliyosalia taarifa zkutoka klabuni hapo zinadai hakuna mchezaji hata mmoja aliyeripoti kambini. …