Ligi kuu Tanzania Bara, ligi daraja la kwanza, ligi ya wanawake na masuala yote ya michezo yanayohusisha mjumuiko wa watu imesitishwa kuanzia leo na Serikali. Hii ni kutokana na kuisaidia …
mbao fc
-
-
Raisi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia ameelekeza Kamati ya Uongozi ya Bodi ya Ligi Kuu kuitisha kikao cha dharura kesho Machi 18,2020. Kikao hicho kinatarajiwa kufanyika kwenye …
-
Klabu ya Yanga imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mbao katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara ulifanyika uwanja wa taifa jijini Dar es salaam. Mabingwa hao …
-
Aliyekuwa kocha msaidizi wa Mbao Fc ,Abdulmutik Hajji amepewa nafasi na bodi ya Mbao Fc kuinoa timu hiyo kama kocha mkuu ili kusaidia kikosi hicho kufikia malengo hasa katika msimu …
-
Uongozi wa Klabu ya Mbao FC umekubaliana na kocha wao mkuu Hemed Suleiman Morocco kuvunja mkataba wa kuendelea kuifundisha klabu hiyo yenye makao yake makuu mkoani Mwanza. Inasemekana chanzo cha …
-
Timu ya Namungo iliyovunja rekodi ya Tanzania Prisons kwa kuwapa kichapo cha mabao 3-2 kwenye mchezo wa ligi imejiandaa kuwapa dozi Mbao Fc kwenye mchezo ujao wa ligi kuu nchini. …
-
Uongozi wa Mbao Fc wamefanikiwa kufanya usajili wa wachezaji sita katika kipindi cha usajili wa dirisha dogo lililofungwa juzi usiku. Mwenyekiti wa kikosi hicho Solly Njashi alisema kuwa wamejipanga vyema …
-
Katika michezo ya ligi kuu bara inayoendelea Simba wamefanikiwa kurudisha heshima baada ya kuwafunga Mbao Fc mabao 2-1 katika uwanja wao wa nyumbani CCM Kirumba jijini Mwanza. Hassan Dilunga anakuwa …
-
TIMU ya Azam FC imeibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Mbao FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa CCM Kirumba mjini …
-
Mshambuliaji Mnamibia wa klabu ya Yanga hatimaye amefunga goli lililoipa klabu yake ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mbao Fc katika uwanja wa Ccm Kirumba jijini Mwanza. Mbao licha ya …