Polisi Tanzania inazidi kukisuka upya kikosi chake tayari kwa msimu ujao wa ligi kuu bara ambapo hivi leo wameidaka saini ya mchezaji wa Simba Sc ,Rashidi Juma kwa kandarasi ya …
Tag:
mbaofc
-
-
Leo Agosti 12 Azam Fc imeingia mkataba wa miaka miwili na beki wa kushoto kutokea Mbao Fc, Emmanuel Charles kwa usajili huru. Charles amekuwa na kiwango bora ndani ya Mbao …
-
Mshambuliaji mpya wa Yanga Sc,Waziri Junior amechaguliwa kuwa mchezaji bora mwezi Julai wa ligi kuu ya Vodacom (VPL), msimu wa 2019/20 ndani ya klabu yake aliyokuwa akiitumikia hapo awali ya …
-
Mshambuliaji namba moja wa klabu ya Mbao FC, Waziri Junior leo Agosti 2, ametambulishwa rasmi kuwa mali ya Yanga baada ya kusaini dili la miaka miwili akiwa ni mchezaji huru …