Taarifa zinaeleza kuwa Aston Villa ina mpango wa kumsajili beki wa kati wa Sampdoria,Omar Colley ambaye ni rafiki wa nahodha wa timu ya Taifa la Tanzani( taifa stars),Mbwana Samatta. Colley …
mbwana samatta
-
-
Nyota anayekipiga ndani ya klabu ya Crystal Palace,Wilfried Zaha amesema kuwa amepokea jumbe mbili ambazo zinaeleza kuhusu ubaguzi wa rangi wakati wa kuifuata Aston Villa mchezo wa Ligi Kuu England …
-
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania ,Mbwana Samatta anayecheza ndani ya Aston Villa ya England pamoja na wenzake watakatwa mshahara kwa asilimia 25 kwa miezi minne ili kuinusuru klabu yao kiuchumi …
-
Kocha msaidizi wa Mtibwa Sugar ,Patrick Mwangata amewaasa wachezaji nchini kumuiga nahodha wa Taifa Stars,Mbwana Samatta katika suala la nidhamu na uvumilivu pale wanapopata maisha ya soka nje ya nchi. …
-
Wachezaji wa Aston Villa wakiongozwa na Jack Grealish, Tyrone Mings na Ezri Konsa wameshtushwa na kasi inayooneshwa na Mbwana Samatta katika mazoezi ya klabu hio katika uwanja wa Bodymoor. Akizungumza …
-
Mshambuliaji wa kitanzania Mbwana Samata jana aliisaidia klabu yake mpya ya Aston Villa kutinga fainali ya michuano ya Carabao Cup baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya …
-
Nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania Mbwana Samatta anayekipiga Klabu ya Aston Villa amesema kuwa uwepo wake Aston Villa ataungwa mkono na watanzania wengi kwani ni mtanzania wa kwanza …