Mshambuliaji mpya wa Yanga Sc ,Michael Sarpong ameweka wazi kuvutiwa na ushindani uliopo ligi kuu ya Vodacom baada ya kushiriki mechi mbili msimu huu. Sarpong aliyetua Yanga mwezi uliopita akitokea …
mchezaji
-
-
Taarifa zinaeleza kuwa Aston Villa ina mpango wa kumsajili beki wa kati wa Sampdoria,Omar Colley ambaye ni rafiki wa nahodha wa timu ya Taifa la Tanzani( taifa stars),Mbwana Samatta. Colley …
-
Kai Havertz ambaye ni kiungo mpya wa Chelsea ameeleza sababu kubwa iliyomfanya asaini ndani ya klabu hiyo ni kutokana na kuvutiwa na kocha mkuu wa timu hiyo, Frank Lampard kwani …
-
Manchester United imekamilisha usajili wa mchezaji Donny van de Beek kwa ada ya Paundi Milioni 40 ambayo inaelezwa kuwa atalipwa paundi 107,000 kwa wiki. Van de Beek amesaini kandarasi ya …
-
Tottenham Hotspurs wamemuweka sokoni mchezaji wao,Tanguy Ndombele ambaye kwa sasa yupo kwenye uangalizi maalum baada ya kukutwa na Virusi Vya Corona. Ndombele yupo mezani kwa dau la pauni milioni 54 …
-
Mchezaji namba 28 aliyetambulishwa na Yanga Sc siku ya wananchi Agosti,31 Benard Morrison sio tena mchezaji wa klabu ya Yanga baada ya shirikisho la soka Tanzania (TFF) kumtambulisha rasmi kama …
-
Mshambuliaji wa Yanga,Yacouba Sogne amewasili Tanzania leo akitokea nchini Burkina Faso ili kuungana na wachezaji wenzake kambini kwa ajili ya maandalizi ya ligi kuu bara inayotarajiwa kuanza Septemba 6. Sogne …
-
Mshambuliaji mpya wa Yanga, Farid Mussa ameanza mazoezi rasmi leo Agosti 19 na wachezaji wenzake kwa ajili ya maandalizi ya mechi za Ligi Kuu Bara pamoja na mechi nyingine za …