Uongozi wa Mtibwa Sugar umefanya maboresho katika benchi lake la ufundi leo Agosti 28,kwa ajili ya msimu wa 2020/2021 unaotarajiwa kuanza Septemba 6. Mabosi hao wamemteua Zubery Rashid Katwila kuendelea …
Tag:
meneja
-
-
Klabu ya Yanga imemteua nahodha wake wa zamani Fred Mbuna kuwa mtunza vifaa wa timu hiyo akichukua nafasi ya Mohamed Mposo. Taarifa kutoka ndani ya klabu hiyo zinadai kuwa beki …
-
Kocha wa zamani wa timu ya taifa ya hispania na klabu ya Real Madrid Julen Lopetegui ameteuliwa kuwa meneja wa timu ya Sevilla kwa mkataba wa miaka mitatu kuanzia jana. …