Mshambuliaji Lionel Messi amefanikiwa kutwaa tuzo yake ya nane ya mchezaji bora wa kiume duniani kwa mwaka 2023 akiwashinda Kylian Mbappe na Eerlin Haaland ambao aliingia nao fainali katika tuzo …
messi
-
-
Timu ya Taifa ya Argentina imefanikiwa kutwaa taji la tatu la kombe la Dunia baada ya kuifunga Ufaransa kwa mikwaju ya Penati 4-2 baada ya kumaliza dakika 120 wakifungana 3-3 …
-
Lionel Messi ambaye ni mchezaji namba moja aliyeifungia mabao mengi Barcelona amerejea mazoezini jana baada ya jaribio lake la kulazimisha kuondoka kushindikana. Kufika kwa muargentina huyo na kufanya mazoezi inakuwa …
-
Rais wa klabu ya Barcelona Jose Bartomeu amesema kuwa anaamini kuwa mshambuliaji wake Lionel Messi kuwa ataongeza mkataba wa mwaka moja licha ya kuhusishwa kutimka klabuni hapo. Mshambuliaji huyo mwenye …
-
Taarifa kutoka nchini Hispania zinaeleza kuwa staa wa klabu ya Barcelona Lionell Messi na kocha wa klabu hiyo Quique Setien wamemaliza tofauti zao baada ya kufanya mazungumzo ili kuinusuru klabu …
-
Ile tuzo maalumu kwa mchezaji bora wa mwaka ambayo hutolewa na shirikisho la soka la Ufaransa haitakuwepo mwaka huu kutokana na janga la Virusi vya Corona ambalo limesababisha baadhi ya …
-
Klabu ya Barcelona imeshushwa katika msimamo wa ligi kuu nchini Hispania baada ya jana kushindwa kuibuka na ushindi dhidi ya Atletico Madrid baada ya kulazimishwa sare ya mabao 2-2. Barca …
-
Chelsea wanafikiria kubadili uamuzi wao kwa kumsaini mshambuliaji wa RB Leipzig Timo Werner,24, ikiwa Mjerumani huyo ataonesha nia utayari wa kuhama. (ESPN) Chelsea imemuweka mchezaji wa nafasi ya ulinzi wa …
-
Taarifa za ndani ya Klabu zinadai kuwa baadhi ya mastaa wa klabu hiyo walikutwa na Virusi vya homa ya mapafu(Corona) japo haikuwa imewaathiri kiasi cha kutoonyesha dalili zozote zile. Taarifa …
-
Mshambuliaji namba moja ndani ya Barcelona,Lionel Messi bado yupo kwenye harakati za kuwashawishi viongozi wa klabu yake kuipate saini ya mchezaji wa Paris Saint-Germain na timu ya taifa ya Brazil,Neymar …