Mshambuliaji wa Barcelona na timu ya taifa ya Argentina Lionel Messi, 32, amepigiwa simu na klabu ya LA Galaxy kujadili uhamisho wa kuelekea Ligi ya Soka ya Marekani (MLS). (Express) …
messi
-
-
Licha ya kutokuelewana na mkurugenzi wa michezo wa klabu hiyo Erick Abidal.Wawili hao walijibizana maneno baada ya Abidal kuwatuhumu wachezaji wa timu hiyo kutojituma na kusababisha matokeo mabovu. Licha ya …
-
Staa wa Barcelona Lionel Messi ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa dunia kwa mara ya sita baada ya kuwashinda Virgil Van Djik na Cristiano Ronaldo ambao walishika nafasi ya pili …
-
Staa wa Argentina Lionel Messi hatimaye atapata wasaa wa kuitumikia tena timu hiyo tangu alipofungiwa miezi mitatu na baraza la mpira wa miguu Amerika ya kusini(CoMEBALL) kufuatia kauli yake kuhusu …
-
Shirikisho la soka duniani (fifa) limekana kumbeba staa wa Argentina Lionel Messi ili kutangazwa mchezaji bora wa dunia kwa upande wa wanaume iliyofanyika septemba 23 jijini Milan Italia. Messi alishinda …
-
Staa wa Barcelona Lionel Messi ameipasua kichwa klabu hiyo baada ya kucheza dakika 45 tu kisha kuumia kwa mara nyingine katika mchezo wa jana dhidi ya Villareal mchezo wa ligi …
-
Kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Ettiene Ndayiragije na nahodha wa kikosi hicho Mbwana Samatta wametofautiana katika kupiga kura ya mchezaji bora wa dunia kwa upande wa wanaume baada …
-
Mshambuliaji Lionel Messi ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa dunia kwa upande wa wanaume akiwabwaga Cristiano Ronaldo na beki wa Liverpool Virgil Van Dijk katika tuzo zilizotolewa usiku huu jijini …
-
Orodha ya wachezaji kumi bora watakaowania tuzo ya mchezaji bora wa dunia imetoka huku mastaa Christiano Ronaldo na Lionell Messi wakiongoza katika orodha hiyo ambayo itapigiwa kura na manahodha na …