Kipa wa klabu ya Yanga sc Metacha Mnata amesimamishwa kwa muda na kocha Miguel Gamondi baada ya kuonyesha utovu wa nidhamu kwa mara ya pili akichelewa kuripoti kambini kutoka katika …
metacha
-
-
Mlinda mlango wa Polisi Tanzania Metacha Mnata ametangaza rasmi kuachana na wakala wake wa muda mrefu Jemedari Said hii leo kupitia ukurasa wake rasmi wa mtandao wa kijamii wa Instagram. …
-
Mastaa tegemeo katika kikosi cha Yanga Kipa Metacha Mnata na Winga Benard Morrison wameachwa katika kikosi cha timu hiyo kilichoondoka leo kuelekea Shinyanga kuwavaa Mwadui fc. Yanga imeondoka leo jijini …
-
Wachezaji wa Yanga Metacha Mnata na Abdulaziz Makame ‘Bui’ wamesajiliwa na kampuni ya AfriSoccer ambayo inahusika na uwakala wa kuwatafutia wachezaji timu nje ya nchi ili wapate nafasi ya kucheza …
-
Kutokana na usajili wa nguvu uliofanyika Jangwani kocha Mwinyi Zahera ameanza kupata mtihani wa kupanga wachezaji baada ya wengi kuonekana kupania kuingia kikosi cha kwanza cha timu hiyo. Golini kiwango …