Pierre-Emerick Aubameyang amekubali kusaini mkataba mpya wa miaka mitatu ndani ya kikosi chake cha Arsenal ambapo mshahara wake unakadiriwa kuwa pauni 250,00 kwa wiki. Aubameyang alikuwa kwenye mpango wa kuondoka …
Tag:
mikel arteta
-
-
Arsenal imekamilisha usajili wa winga Mbrazil,Willian Borges Da Silva kwa dili la miaka mitatu leo Agosti 14 akiwa kama mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba wake na Chelsea. Willian amedumu …
-
Usiku wa leo pazia litafungwa kwenye moja ya mashindano maarufu Uingereza na Ulaya kwa kushuhudia mchezo mkali wa fainali ya kombe la FA kati ya Arsenal na Chelsea majira ya …