Kikosi cha timu ya Taifa Stars imesafiri kuweka kambi nchini Misri alfajiri ya leo Julai 09 baada ya jana Julai 8 kuingia kambini jijini Dar es salaam kujiandaa na michuano …
misri
-
-
Klabu ya Simba sc imeingia nchini Misri katika jiji la Ismailia kwa ajili kambi maalumu ya maandalizi ya msimu mpya (Pre-seasons) ikiwa na mastaa wake wapya wote iliowasajili msimu huu. …
-
Klabu ya Al Ahly imesitisha usajili wa golikipa wa klabu ya National Bank ya Misri Mohamed Abou Gabal “Gabaski” siku tatu baada ya kumsajili kwa mkopo kuziba nafasi ya El …
-
Mshambuliaji wa klabu ya Namungo Fc Adam Salamba amesajili na klabu ya Ghazl-El Mahala inayoshiriki ligi kuu nchini Misri kwa mkataba wa mwaka mmoja ambapo ataungana na Mtanzania Himid Mao …
-
Klabu ya Simba sc leo itasafiri kutoka mji wa Ismailia ilipofikia na kuweka kambi ya maandalizi ya msimu kwenda Cairo kuivaa klabu ya Haras El Hodood kucheza mchezo wa kirafiki …
-
Simba Sc imezidi kuweka alama kimataifa baada ya mtendaji wao mkuu ,Barbara Gonzalez na mjumbe wa bodi ya wakurugenzi ya Simba Sc,Mulamu Nghambi kukutana na kufanya mazungumzo na rais wa …
-
Klabu ya Wydad Casablanca ya Morocco imemfuta kazi kocha wake Mkuu Sebastian Desabre mwezi mmoja tu tangu imteue kushika nafasi hiyo. Tukio hilo limekuja baada ya Wydad kupoteza mchezo wake …
-
Nyota wawili wa Yanga Ditram Nchimbi na Feisal Salum wanatarajiwa kuelekea nchini Misri kufanya majariboio kunako klabu ya Smouha inayoshiriki ligi kuu ya nchini humo Nyota hao huenda wakaondoka Januari …
-
Upo uwezekano mkubwa Yanga itamuuza mshambuliaji wake Ditram Nchimbi kwa klabu moja inayoshiriki ligi kuu ya Misri Timu hiyo ambayo kwa sasa haitawekwa wazi, iko kwenye mazungumzo na uongozi wa …
-
Beki kisiki wa klabu ya Azam fc na timu ya taifa ya Tanzania Aggrey Morris ameanza mazoezi ya viungo ili kujiweka fiti baada ya kuwa nje ya uwanja kwa muda …