Msafara wa wabunge wa Bunge la Jamhuri la Tanzania waliokua nchini Misri kwa ajili ya kuipa sapoti Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa stars) iliyokua ikicheza mechi ya kwanza michuano …
misri
-
-
Ile inshu ya kuongeza mkataba ya staa wa Simba Emmanuel Okwi ni kama inaelekea mwishoni baada ya staa huyo kukubaliana baadhi ya vipengele na vigogo wa Simba walioko nchini Misri …
-
Timu ya Taifa ya Misri imeanza vizuri michuano ya mataifa ya Afrika baada ya kuibuka na ushindi mwembamba wa bao moja kwa bila dhidi ya Zimbabwe katika mchezo wa ufunguzi …
-
Spika wa bunge la Tanzania Job Ndugai amewatembelea wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania(Taifa stars) katika hotel yao waliyoweka kambi nchini Misri Kujiandaa na Michuano ya mataifa ya Afrika …
-
Kocha wa timu ya taifa ya Tanzania (Taifa stars) Emmanuel Amunike amemuita kikosini beki wa Azam Fc David Mwantika kwenda kuchukua nafasi ya mchezaji mwenzake wa klabu hiyo Aggrey Morris …
-
Kiungo wa Simba sc Jonas Mkude amesaini kandarasi ya miaka miwili kuendelea kuitumikia timu hiyo ya kariakoo msimbazi jijini Dar es salaam baada ya mkataba wa awali kumalizika hivi karibuni. …
-
Beki wa Simba sc Shomari Kapombe ana hatihati ya kutokwenda katika michuano ya mataifa ya Afrika(Afcon) baada ya kutopona majeraha yake kwa asilimia 100.Kapombe aliyeumia katika kambi ya siku kumi …