Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars)imepokea kichapo mbele ya Burundi cha bao 1-0 kwenye mchezo wa kirafiki uliochezwa leo Octoba 11,uwanja wa Mkapa. Kwenye mchuano huo wa leo ambapo …
mkapa stadium
-
-
Yanga Sc imepata ushindi leo Octoba,3,2020 wa mabao 3-0 mbele ya Coastal Union katika mchezo wa ligi kuu bara uliofanyika uwanja wa Mkapa majira ya saa 1:00 usiku. Kipenzi cha …
-
Coastal Union ambao watamenyana leo Octoba,3 na Yanga Sc uwanja wa Mkapa jijini Dar-es-salaam wamejihakikishia kuchukua pointi tatu muhimu leo katika mchuano huo utakaochezwa majira ya saa 1:00 usiku. Kocha …
-
Tunombe mukoko ameiongoza Yanga Sc kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya timu ya KMKM kwenye mchezo wa kirafiki uliochezwa siku ya jana katika uwanja wa Azam Complex uliopo …
-
Msanii mkubwa wa kitaifa na kimataifa,Nasib Abdul alimaarufu kama Diamond Platnum ametua Uwanja wa Mkapa siku ya Simba Day na Helikopta na kuwateka mashabiki wote wa Simba kwa kutumbuiza. Ni …