Licha ya tambo za hapa na pale,jana msemaji wa Ruvu Shooting Masau Bwire alikua kimya baada ya mchezo wa Yanga sc dhidi ya timu yake kumalizika kwa Yanga sc kuibuka …
mkwasa
-
-
Kocha Msaidizi wa Yanga Charles Mkwasa amewataka mashabiki wa timu hiyo kumpa nafasi mshambuliaji Yikpe Gnamien kwani kuendelea kumshambulia wanazidi kumchanganya Kwa siku za karibuni Yikpe amekuwa akicheza chini ya …
-
Kaimu kocha mkuu wa Yanga Boniface Mkwasa amesema kuwa kwa sasa hajui hatma yake tangu nafasi ya Mwinyi Zahera kuchukuliwa na Mbelgiji Luc Eymael. Tumefurahi ujio wa kocha mpya ndani …
-
Taarifa kutoka ndani ya klabu ya Yanga sc zinadai baada ya kumalizana na kocha Luc Aymael kuwa kocha mkuu wa klabu hiyo na pia kumpata kocha wa Viungo Riedoh Berdien,Timu …
-
Kocha Luc Eymael na msaidizi wake Reidoh Berdien wamesaini mkataba wa mwaka mmoja na nusu kuitumikia klabu hiyo yenye makao makuu mitaa ya Jangwani na Twiga jijini Dar es salaam. …
-
Klabu ya Yanga sc ipo mbioni kumshusha kocha Luc Aymael raia wa ubeligiji kuja kuifundisha timu hiyo akichukua nafasi ya Mkongo Mwinyi Zahera aliyetimuliwa klabuni hapo. Kocha huyo anakuja kuchukua …
-
Kaimu Kocha Mkuu wa Yanga Charles Mkwasa amesema kikosi chake kiko timamu kwa asilimia 100 kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba Mchezo huo utapigwa leo saa 11 jioni …
-
Inaelezwa kuwa kocha Hans Van de Pluijm ametuma barua ya kuomba kurejea Yanga sc kama kocha mkuu kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na kocha Mwinyi Zahera. Hans aliifundisha Yanga kwa mafaniko …
-
Straika wa timu ya Biashara United ya mkoani Mara Mnigeria Innocent Edwin yupo kwenye mazungumzo ili kujiunga na timu ya Yanga kwenda kuboresha safu ya ushambuliajia ya klabu hiyo. Licha …
-
Baada ya mchezo dhidi ya Alliance Fc, ligi itasimama kupisha michuano ya CECAFA Chalenji ambayo itafanyika nchini Uganda kuanzia Disemba Mosi Kulingana na ratiba ya Bodi ya Ligi, baada ya …